Ni wakati wa kutomtegemea Mwanaume

Ni wakati wa kutomtegemea Mwanaume

Binafsi napenda kuhudumiwa mpaka Pesa ya Pad..na ndio najifeel am a real woman japo ata nisipohudumiwa nimesimama sitetereki ata nukta lakin hali ya kuhudumiwa ndio inanifanya nijione ni Mwanamke kamili

Kila mwanamke anapenda Mwanaume mwenye kuyajua majukum yake

Mwanaume asiehudumia sio Mwanaume ni mzigo na hakupendi huyo

Kuna WANAUME jaman wanajali uwiiiiii MWENYEZI MUNGU awaweke hawa WANAUME wenye kujua wajibu wao

Nihonge nanunua nini kwanini yani, ina kipi nsichokijua ina tv ndani?

Wengi wenu mkipata wanaume wenye hela, wanaowahudumia, mnaishia kuwapiga na vitu vizito.. hlf sasa hao wanaume wenye hela wengi wao hawana mvuto physically (sura na shep nzuri ya kiume hawana..wana vitambi, wafupi wana sura ka sokwe) Aidanna Hannah Lovie Lady Mrs Lissu figo76
 
Nasisitiza... Hela ya mwanaume TRAAAAAAM
 
Siwezi kula kwa jasho na kuzaa kwa uchungu,
 
Siku hizi wanaume tunatafuta lifemates, sio bedmates. Bedmates wamejaa kila kona tena wengine kama malaika.

Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kipato hata kidogo inatoa uhuru wa kifikra kwa mwanaume. Inawezesha mwanaume kufikiria na kuendesha mambo makubwa ya kimaendeleo.

Hata siku ukiumwa au ukiwa huna kazi ni vigumu familia kuadhirika sababu bado kipato cha mama kitafaa kwa mambo madogo.
 
Kama mwanamke mpaka leo umebweteka unamsubiria mwanaume akuletee hela pole.

Hela za wanaume zina manyanyaso sana pamba upate chako ujivunie usikae kumtegemea mwanaume akupe pesa please amkeni.

Kuna wanawake mpaka hela ya pedi wanaomba kwa mwanaume ni aibu sana, inatakiwa ata mwanaume asijue siku yako ya hedhi lakini kuna baadhi yetu mnawaambia et kisa mpenzi nitamwambie alie nioa tu lakini sio hawa wa muda mfupi.

Ni hilo tu.

Halafu mwanaume wako ndio mwenye shida sio wanaume wote dada

Kma akupi hela ni yeye

Umetendwa na mmoja umegeuka motivition speaker
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom