Ni wakati wa kutomtegemea Mwanaume

Ni wakati wa kutomtegemea Mwanaume

Y
UMesema vyema sana pesa ya mwanaume asie na mapenzi nawewe ina masimango sana ...... ila honestly kuna wakati mtu unawaza upate tu mume sijui jamaa mwenye kujua nini afanye awe responsible 100% upumzike yaani tunachoka basi tu 😁😁
ah ni kweli but sio kumuonesha kuwa unamtegemea yeye
 
Binafsi napenda kuhudumiwa mpaka Pesa ya Pad..na ndio najifeel am a real woman japo ata nisipohudumiwa nimesimama sitetereki ata nukta lakin hali ya kuhudumiwa ndio inanifanya nijione ni Mwanamke kamili

Kila mwanamke anapenda Mwanaume mwenye kuyajua majukum yake

Mwanaume asiehudumia sio Mwanaume ni mzigo na hakupendi huyo

Kuna WANAUME jaman wanajali uwiiiiii MWENYEZI MUNGU awaweke hawa WANAUME wenye kujua wajibu wao
 
Ni kweli ULICHOANDIKA,
ila pesa ya mwanaume ni traaamu hatari...

Sema inakuwa kama inakapepo fulani hivi waweza kuta ishaishaaa na cha maana hujafanya.. Sijui huwa WANAZIROGA.
 
Ila sio yakuomba

Hata kama ni yakuomba haina shida. Wenyewe wanapenda wakiambiwa “baby naomba hela ya kwenda kutengeneza nywele mpenzi wangu”. Ila hakikisha upo na mwanaume sahihi, anayekupenda na unayempenda. Mwanaume akikupenda na ana uwezo wa kifedha usipomuomba hela anakuona unajidai mwamba, na hawapendi.
 
Usimfundishe ujinga
Kuomba omba ni upuuzi taftueni wanaume muolewa mnazichosha Sehemu zenu za mikojo
 
Kama mwanamke mpaka leo umebweteka una msubiria mwanaume akuletee hela pole

Hela za wanaume zina manyanyaso sana pamba upate chako ujivunie usikae kumtegemea mwanaume akupe pesa pleas amkeni

Kuna wanawake mpaka hela ya pedi wanaomba kwa mwanaume ni aibu sana, inatakiwa ata mwanaume asijue siku yako ya hedhi lakini kuna baadhi yetu mnawaambia et kisa mpenzi nitamwambie alie nioa tu lakini sio hawa wa muda mfupi

Ni hilo tu
Wewe figo uzi wako juzi unasema unapenda mwanaume anayejua unataka nn hata kabla ya kuomba leo unaanza kusema tofauti.
 
When a Man pays his bills it's normal.

But when a woman pays her bills,
She is a strong woman, super woman, independent lady, fighter , Queen of the jungle, Boss lady ,Hustler, self love,

Yani sifa zote Kedekede ni zake

Na baada ya hapo "Feminism" huanza.
kamanda.,kunywa pepsi mkubwa wao!!!nakuhakikishia mwanamke hata awe na milion still ataipigia hesabu buku ten ya mwanaume!Hapo mwisho umepigilia msumari wa moto
 
Ni kweli ULICHOANDIKA,
ila pesa ya mwanaume ni traaamu hatari...

Sema inakuwa kama inakapepo fulani hivi waweza kuta ishaishaaa na cha maana hujafanya.. Sijui huwa WANAZIROGA.
Jua kuipangilia ukipewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom