✌️
Kama mwanamke mpaka leo umebweteka una msubiria mwanaume akuletee hela pole
Hela za wanaume zina manyanyaso sana pamba upate chako ujivunie usikae kumtegemea mwanaume akupe pesa pleas amkeni
Kuna wanawake mpaka hela ya pedi wanaomba kwa mwanaume ni aibu sana, inatakiwa ata mwanaume asijue siku yako ya hedhi lakini kuna baadhi yetu mnawaambia et kisa mpenzi nitamwambie alie nioa tu lakini sio hawa wa muda mfupi
Ni hilo tu

Hii ni redflag.
Usifunge pingu za maisha na mwanamke wa aina hii.
Financial independence of women is a highest form of Satanism.
Mwanamke akikuzidi pesa hatakuheshimu,hatakusikiliza na mwisho hatokutii na kibaya zaidi atataka kuchukua majukumu ya kuwa kichwa cha familia, ndo yale ya kutoka nyumbani bila ya kuaga.
Hali ikiendelea tena, anaanza kuchepuka kutafuta mwanaume Bora zaidi yako.
Mwanamke anapaswa amtegemee mume wake kwa kila kitu kuanzia pesa, mapenzi na malezi, mwanaume ni leader.
Mwanamke akimsaliti mwanaume Kwa kutosimama kumhudumia, yuko sahihi sana.
Akitaka kufungua biashara, msapoti atakuheshimu sana alafu uwe kiongozi katika hiyo biashara hata kama ni indirectly, yaani uongoze mwelekeo wa kila kitu mwanamke anachotaka kufanya.
Katika ndoa hakikisha unamzidi mkeo kwa Kila kitu au mfanano uwepo.