Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,472
- 13,629
Nimeelewa VyemaUmeelewa nilichosema?
Nimeelewa VyemaUmeelewa nilichosema?
Makurubambe au singomaza ndio wanajifanya kuwa na viharakati kama hiviMwanamke kama huyu ndo uoe aisee kazi unayo, halafu mwanamke anaejiheshimu huwezi kuta anapayuka hivi, wa hivi ni hawa makurubambe ya mjini
Sasa mbona unahangaika Sana , ?? Kwa umri wako up unabidi kuwa umeolewaSijakosa
ewe peke tako umenielewa nini na maanishaWazo zuri but ni Wajibu wa Mwanaume kumhudumia Mwanamke kwa kila hitajio lake nasio mpaka aombwe..haijilishi Mwanamke ana pesa au hana
Kuna Wanaume wanajali jaman acha tu hawaombwi wanajua kutimiza wajibu wao mpaka raha yaan
Pesa ya Mwanaume tamu sana
KaribuThanks
Mimi naongelea wale wanawake ambao hawataki kuujisumbua wanakaa tu kumtegemea mwanaume yaani kuna rafiki yangu kasomeshwa ana vyeti mwanaume kamwambia asifanye kazi mwanaume wenyewe papatu papatuKama wanaume wenyewe wanatoa hela kiroho safi bila kuombwa tufanyaje.
Tena mwingine anatuma na ya kutolea