Atubela
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 749
- 854
Sasa wapigiwe simu kwa uendeshwaji wa kipindi kipi haswaa?Siasa inatoka wapi mkuu wakati mambo yako wazi tuambie nilini TBC wamepigiwa simu kwa staili kama hii
Hata wakiwahita watu kuja kuwahoji haipiti dk 5 na zinaishia kwa wao wenyewe maana wanaongea hao, "mara tumpishe Asha Haji kwa kutusomea vichwa vya magazeti" mara "habari za michezo"
Kwa ujumla bado mabadiliko na ubunifu wa vipindi haujafanywa na Rioba
Na tatizo kubwa hawajataka kujishughulisha kujua watazamaji wanahitaji nini zaidi ya kutujazia bango kubwa la PPRA
TBC aliondoka nayo TIDO MHANDO.