win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,246
- 34,917
🤣🤣🤣🤣 we mwenyew upo huko kihisia ila kiroho, kimwili na kiakili upo kwanguUtaolewa kimwili tu ila kiroho utakua kwangu.
🤣🤣🤣🤣 we mwenyew upo huko kihisia ila kiroho, kimwili na kiakili upo kwanguUtaolewa kimwili tu ila kiroho utakua kwangu.
Shengesha nimemkumbuka Coca jamani yuko wapi?😂😂😂,yaani sema kumepoa wale wa kupenda mashengesha wapo bize🚶♀️🚶♀️
Yupo kwa Cola.Shengesha nimemkumbuka Coca jamani yuko wapi?
😂😂😂😂 mbona kama kweli?JF imeharibika hivi karibuni baada ya kuvamiwa na mashoga ambayo yanataka kutangaza ushoga wao humu kwa nguvu,ukiyapiga vita ndio yanaanzisha ugomvi na matusi,
Sasa hivi mashoga kibao yamepigwa ban,unaweza kuona kuna utofauti mkubwa sana kati ya sasa na hapo mwanzo humu JF kwenye issue ya amani,
Sasa hivi ni karibu siku 4 au 5 kumekua na amani kubwa sana JF,na mada zinajadiliwa bila ugomvi coz kuna mashoga yamepigwa ban.
Hii imeniathiri mpaka mimi, najikuta natumia hiyo id kumaanisha matako. Na wala sifurahii ila mazingira ya humu yamenifanya nione kama ni synonym yake. Vijana waache kuchafua majina ya watu. Naunga mkono hoja ✊.Unakuta mtu anatumia user name ya member wa Jf kuwasilisha kiungo fulani cha Mwanamke,muhanga mkubwa wa tabia hii ni member anaye tumia ID ya Makebo.
Huo ndio ukweli wenyewe,hakuna ukweli zaidi ya huo,tena hua wana Multiple ID's ila Mods tayari nyingi wamesha ziunganisha.😂😂😂😂 mbona kama kweli?
Usichafue ID ya mtu mkuu coz hata wewe hutopenda mtu achahafue ID yako,Hii imeniathiri mpaka mimi, najikuta natumia hiyo id kumaanisha matako. Na wala sifurahii ila mazingira ya humu yamenifanya nione kama ni synonym yake. Vijana waache kuchafua majina ya watu. Naunga mkono hoja ✊.
Wivu unamsumbua,tumsamehe bure.🤣🤣huyu binti yupo kutogombanisha live aisee🙌🏾
Hivi watoto tunawapataje sasa? Through Bluetooth?Wivu unamsumbua,tumsamehe bure.
Coca kaadimika yaaniShengesha nimemkumbuka Coca jamani yuko wapi?
Mimi nitoe kwenye hayo mambo 😂😂😂Hivi huo mpira mkishapasiana mnajuaje vijana?
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥AFYA YA AKILI
KAZI MAALUM HAMNA
ULIMBUKENI
MIHEMUKO KULIKO LOGIC
UMASIKINI
STRESS
TRAUMA
JF NDIO BABA YENU, JF NDIO MAMA YENU.
MNAJICHUKIA KATIKA UHALISIA NA SEHEMU YA KUDONDOSHA MAKASIRIKO NI HUMU JF
MNATENGENEZA VINYONGO VYA MITANDAO UKIWA NYUMA YA ID ULIOFICHA UTAMBULISHO HALISIA
UNAKUTA UNAFUATILIA KIDUME MWENZAKO 24 HRS ILI UMUITE SHOGA NA MAJINA YOTE ILI UFAIDIKE NA NINI HASWA? UNAKUTA NDIE ANAELIPIA BILI DADA YAKO ALAFU DADA YAKO ANAKUKOPESHA PESA ZA BAANDO
HAMNA MAISHA, MASIKINI WA AKILI .
akikujibu nitag 😎Hivi watoto tunawapataje sasa? Through Bluetooth?
😁Aiseee nimesoma hii comment , bwna shmeji alikuwa kanituma maji ya kunywa, nimeyanywa mimi mwenyeww na nimeondoka bila kuaga,AFYA YA AKILI
KAZI MAALUM HAMNA
ULIMBUKENI
MIHEMUKO KULIKO LOGIC
UMASIKINI
STRESS
TRAUMA
JF NDIO BABA YENU, JF NDIO MAMA YENU.
MNAJICHUKIA KATIKA UHALISIA NA SEHEMU YA KUDONDOSHA MAKASIRIKO NI HUMU JF
MNATENGENEZA VINYONGO VYA MITANDAO UKIWA NYUMA YA ID ULIOFICHA UTAMBULISHO HALISIA
UNAKUTA UNAFUATILIA KIDUME MWENZAKO 24 HRS ILI UMUITE SHOGA NA MAJINA YOTE ILI UFAIDIKE NA NINI HASWA? UNAKUTA NDIE ANAELIPIA BILI DADA YAKO ALAFU DADA YAKO ANAKUKOPESHA PESA ZA BAANDO
HAMNA MAISHA, MASIKINI WA AKILI .