win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,648
- 32,968
Aaah,harusi haikuwa na maajabu
usinambie😄
Aaah,harusi haikuwa na maajabu
usinambie😄
Soma yangu halafu niambie.Jidanganye.
hongera yao,, harusi imeisha ngoja warudi kwenye mahandaki wakaendelee kuchimbaHarusi ilikuwa ya kawaida,
Walipendeza sana,pesa haikufika 1b😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣,hongera yao,, harusi imeisha ngoja warudi kwenye mahandaki wakaendelee kuchimba
Yani nyie mmeanzisha mada yenu ya harusi ndani ya mada husika!hongera yao,, harusi imeisha ngoja warudi kwenye mahandaki wakaendelee kuchimba
Watu kumiliki ID's kumi kumi.Vijana kuishi kwa shemeji zao ndio chanzo kikubwa jf kuzorodha kimaadili. Achana nayo
Sijaona sababu ya msingi, ila mfano akatokea mtia nia hapo mbona watu wanakufanyia assignment tu. Mtaanza na likes za 🤩😍🥰 ➡️quotes➡️ PM➡️ watsup ➡️fanya taratibu bas babe.Soma yangu halafu niambie.
Nakubali.JF imeharibika hivi karibuni baada ya kuvamiwa na mashoga ambayo yanataka kutangaza ushoga wao humu kwa nguvu,ukiyapiga vita ndio yanaanzisha ugomvi na matusi,
Sasa hivi mashoga kibao yamepigwa ban,unaweza kuona kuna utofauti mkubwa sana kati ya sasa na hapo mwanzo humu JF kwenye issue ya amani,
Sasa hivi ni karibu siku 4 au 5 kumekua na amani kubwa sana JF,na mada zinajadiliwa bila ugomvi coz kuna mashoga yamepigwa ban.
Wachochezi wakubwa😂😂...majukumu yatakuwa yamembana😂😂😂😂,yaani wanakuwa kati,coca sijui yupo wapi kaadimika.
😂😂😂😂, daaah.Sijaona sababu ya msingi, ila mfano akatokea mtia nia hapo mbona watu wanakufanyia assignment tu. Mtaanza na likes za 🤩😍🥰 ➡️quotes➡️ PM➡️ watsup ➡️fanya taratibu bas babe.
cc The IcebreakerWatu kumiliki ID's kumi kumi.
Moja anakutukana nyingine inakuja kumsapoti huyo mjinga anayetukana.
Moderator hii issue mnatakiwa muichukulie very serious,mtu kua na ID's nyingi ndio chanzo cha JF kupoteza maadili,Watu kumiliki ID's kumi kumi.
Moja anakutukana nyingine inakuja kumsapoti huyo mjinga anayetukana.
Au anajitukana yeye mwenyewe😂Watu kumiliki ID's kumi kumi.
Moja anakutukana nyingine inakuja kumsapoti huyo mjinga anayetukana.
tumekoma😄Yani nyie mmeanzisha mada yenu ya harusi ndani ya mada husika!
Ugomvi unaanzaga hivi hivi.
Unataka kusemaje hapa?
Kabisa na wanaofanya hivyo wanajulikana.Moderator hii issue mnatakiwa muichukulie very serious,mtu kua na ID's nyingi ndio chanzo cha JF kupoteza maadili,
Pia imezuka tabia ya baadhi ya member kuchafua ID's au Username za watu wengine,hili jambo ni la hatari sana kwa mustakbali wa hii Forums,watu kama hawa wanatakiwa wapigwe life ban coz kuna siku,member watashindwa kuchangia humu,kisa User name zao zimechafuliwa,
Unakuta mtu anatumia user name ya member wa Jf kuwasilisha kiungo fulani cha Mwanamke,muhanga mkubwa wa tabia hii ni member anaye tumia ID ya Makebo.
Active Moderator Maxence Melo
Hapo ndio selfika yenu iliponishindagaYaani wanaanzaga kuyazua ata ya mwaka wa nyuma😂
sasa hivi wa multiple ids wamemulikwa haswaaWatu kumiliki ID's kumi kumi.
Moja anakutukana nyingine inakuja kumsapoti huyo mjinga anayetukana.
Hatari sana.Au anajitukana yeye mwenyewe😂