Ni vitu gani vinavyochochea ugomvi hapa jukwaani...?

Ni vitu gani vinavyochochea ugomvi hapa jukwaani...?

🤣🤣🤣🤣wakina vibanana
Wewe kuna shengesha lilikupita bana, depal na fake p walibebeana humu unaambiwa kulichafuka mbaya..!! 😹😹😹

Kama kawaida mdogo wako nikala ban 😹 imagine jamani 😥😹😹
Dyudyu wapigwe wengine ban nipewe mimi? Nimelia sana 😭😹😹

Ila bado hawajamalizana wanawindana tunasubiri round ya pili warudi..!!
 
Aloooooh mwamba gani tena?ila Depal wanamuonea sana😂
 
Aloooooh mwamba gani tena?ila Depal wanamuonea sana😂
😹😹😹
Depal unaambiwa alitaka kuolewa na certified hater kumbe huyo bwana kamkwapua kwa udugu wake fake p 🤣

Dee akamchamba udugu wake kuwa huyo CH sio bwanake ni best yake tu asijipe umuhimu na huko piemuni anamchora anavyojishobokesha na yeye ndo anayemjibu shobo zake sio huyo bwana CH..!! 😹

Afande asije juu saa ngapi? 😹
Akaanza kumtafuta na binduki la smg amlipue nalo Dee aka da feli
 
Hapa tumekutana watu wa malezi tofauti, elimu tofauti na dini tofauti.
Kuna watu wengine hio ndio sehemu yao ya kutoa stress, wengine matusi ni sehemu ya maisha yao na wengone wamezoea kujopna wao bora jawatakiwi kupingwa.
 
Back
Top Bottom