Ni vitu gani vinavyochochea ugomvi hapa jukwaani...?

sema ujuaji mwingi humu, watu wanajidai kwamba wanajua kila kitu kuhusu wenzao, mwingine mnaweza kupishana kauli kidogo kwenye uzi flani basi ndo anakubeba kama adui,,,

tusipende kuichukulia JF serious kiasi hicho waja, tuione tu kama social media ya kawaida kama ilivyo FB, IG au X
 
Umesema kweli,wanaogombanaga wanajuana.
Na wakishajuana kwa ID hii na hii, wanakuja kupingana kwa ID zingine.

Ila kwa sababu wameshajuana "touches" zao, ndipo sasa mabifu yanapoanza, ndiyo maana imekuwa rahisi kwao kujua ID fulani na fulani ni za mtu fulani.
 
JF imeharibika hivi karibuni baada ya kuvamiwa na mashoga ambayo yanataka kutangaza ushoga wao humu kwa nguvu,ukiyapiga vita ndio yanaanzisha ugomvi na matusi,

Sasa hivi mashoga kibao yamepigwa ban,unaweza kuona kuna utofauti mkubwa sana kati ya sasa na hapo mwanzo humu JF kwenye issue ya amani,

Sasa hivi ni karibu siku 4 au 5 kumekua na amani kubwa sana JF,na mada zinajadiliwa bila ugomvi coz kuna mashoga yamepigwa ban.
 
Na wakishajuana kwa ID hii na hii, wanakuja kupingana kwa ID zingine.

Ila kwa sababu wameshajuana "touches" zao, ndipo sasa mabifu yanapoanza, ndiyo maana imekuwa rahisi kwao kujua ID fulani na fulani ni za mtu fulani.
Jf🙌
Jf kucheza Kwa stepu🚶‍♀️
 
Jf🙌
Jf kucheza Kwa stepu🚶‍♀️
Sema ni upumbavu tu. Na hawa ndiyo wanaoiharibu jf. Watu tunafahamiana sana humu jf, na wengine mpaka wamejipatia waume na wake humuhumu. Ila kuna ka kikundi kanajifanya much-know sana siku za hivi karibuni.

Na hawa ni wale wanaoigeuza jf kuwa their personal chatting platform. Ni vizuri wakaenda kwenye platform kama Whatsapp, Facebook nk wakawe active na malumbano ya kipumbavu kule ila siyo hapa.

Na wajue wao sio wa kwanza kufahamiana in person humu jf. Nakumbuka miaka fulani members wa jf wanaofahamiana walikuwa na Whatsapp Groups zao. Ilikuwa wakiona wanataka kuharibu hapa jf, basi unaona wanaalikana wakutane kwenye platforms zingine huko wakaendelee na personal issues zao huko.
 
😄😄😄😄 sawa mumy,,, haya nipe story ya harusi ya yule tajeer wa katoro, iliendaje
Aaah,harusi haikuwa na maajabu
Sema ni upumbavu tu. Na hawa ndiyo wanaoiharibu jf. Watu tunafahamiana sana humu jf, na wengine mpaka wamejipatia waume na wake humuhumu. Ila kuna ka kikundi kanajifanya much-know sana siku za hivi karibuni.

Na hawa ni wale wanaoigeuza jf kuwa their personal chatting platform. Ni vizuri wakaenda kwenye platform kama Whatsapp, Facebook nk wakawe active na malumbano ya kipumbavu kule ila siyo hapa.

Na wajue wao sio wa kwanza kufahamiana in person humu jf. Nakumbuka miaka fulani members wa jf wanaofahamiana walikuwa na Whatsapp Groups zao. Ilikuwa wakiona wanataka kuharibu hapa jf, basi unaona wanaalikana wakutane kwenye platforms zingine huko wakaendelee na personal issues zao huko.
Kweli,Kuna waliooana humu
 
Back
Top Bottom