Ni vitu gani vinavyochochea ugomvi hapa jukwaani...?

Ni vitu gani vinavyochochea ugomvi hapa jukwaani...?

Mi nazan ni msimamo na uelewa mdogo wa wadau wengi

Ukiandika comment hayo ni mawazo yako so mtu akikukosoa haina haja ya kujibizana sababu ww umeshawek mawazo yako na uwo ndo msimamo wako sasa why uangaike na mtu alie reply comment yako.

Mimi huwa naandika naacha apo mtu aki comment kwa coment yangu huwa ata sna muda wa kwenda kuangalia kanijb nn

Lakin huwa sisomi notification wala private message sabu sion umuhimu wake

Lakin pia kwann ugombane na mtu au mtukanane na mtu wakat humjui akujui humsaidii kitu akusaidii kitu

Tuwe na uvumilivu na kuvumiliana uwo ndo ushauri wangu
 
Kujuana kumezidi. Ukiangalia wengi waliozinguana recently ni wale ambao wameshafahamiana in real life.

Mkishafahamiana in personal, kinachofuata ni dharau na kupingana kwenye nyuzi zenu maana mengine tunayoandika siyo uhalisia wetu.

Hili jukwaa ni la majadiliano kwa hoja, mkishaleta personal issues tu, baaasi.
Ni kukosa kujielewa tu, mambo yenu personal hayahusiani na mijadala inayofanyika humu. Watu wakiwezs kuweka personal relationships zao pembeni wakaingia humu wakiwa neutral sidhani kama magomvi yatakuwepo.
 
kuna uzi wa jana niliusoma juu juu maana nilikua na uchovu wa usingizi, ulikua unafukua makaburi ya selfkia hivi uliishaje? haukuibuka ugomvi kweli🤭😄😄
😂😂😂,yaani sema kumepoa wale wa kupenda mashengesha wapo bize🚶‍♀️🚶‍♀️
 
Ni vitu gani vinavyochochea ugomvi hapa jukwaani..?

binapfsi naona NI..?

Kukosoa hoja ya mtu yani mtu ka comment harafu kuna anaekosoa commen ya mwenzie kwa matusi

Kuchangia mada ukisema hii mada ya hovyo wakati wanaounga mkono hoja ni wengi wewe unakuja kukosoa kwa matusi

Nk
we unaona ni kitu gani kinachangia matusi ugomvi n.k humu jukwaani..?
Stress pia za maisha,watu wanataka yanayowafurahisha wao tuu!
 
Ni kukosa kujielewa tu, mambo yenu personal hayahusiani na mijadala inayofanyika humu. Watu wakiwezs kuweka personal relationships zao pembeni wakaingia humu wakiwa neutral sidhani kama magomvi yatakuwepo.
Kinachotokea ni mimi na wewe tukifahamiana kwa ID fulani, ukiandika kitu humu ndani nakuja kukuamshia kwa ID nyingine (parody).

Lakini kwa sababu unajua touches zangu, utagundua tu huyu ni fulani amenijia kwa ID tofauti.

Na ndiyo maana watu kwa sasa wanajua ID hizi na hizi ni za fulani. Haujiulizi wamejuaje?
 
Back
Top Bottom