Jf ngumu hii🙌Hatari sana.
Halafu wanapenda sana kuplay a victim card.
Hatari sana.Jf ngumu hii🙌
Mfano yule Chizi maarifa kala ban kisha akaja kufungua uzi wa kujisema kwa kutumia ID yake ya Minjingu Jingu,Nakubali.
Japo kuna mengine yana ID mpya ila yanajulikana.
Japo kwa sasa yana adabu.
si tunajuana mimi na wew😉😄Dah! wewe mtoto fala sana,😀😀
Unajipa matumaini hewa kua To yeye sio mpenzi wangu halisi sio?
Kama inakupa faraja,basi endelea kuamini hivyo.
UshamalizaKujuana kumezidi. Ukiangalia wengi waliozinguana recently ni wale ambao wameshafahamiana in real life.
Mkishafahamiana in personal, kinachofuata ni dharau na kupingana kwenye nyuzi zenu maana mengine tunayoandika siyo uhalisia wetu.
Hili jukwaa ni la majadiliano kwa hoja, mkishaleta personal issues tu, baaasi.
Hii ni kukosa KAZI,Hatari sana.
Yani mtu anagombana na kutukanana na yeye mwenyewe halafu anakuja na ID nyingine kujiombea huruma.
Hatari.
Ana ma parody kibao.Mfano yule Chizi maarifa kala ban kisha akaja kufungua uzi wa kujisema kwa kutumia ID yake ya Minjingu Jingu,
Alifikiri hatujui kua hiyo ni ID yake,ikabidi ale kona tu.
Huwezi kunikatisha tamaa,umesha chelewa,penzi letu limesha ota mizizi,si tunajuana mimi na wew😉😄
haiwezi bwana, da kidoti namfaham vizuri tu ye anampend zake shadow, sasa wew endelea hivyo hivyo kujidanganya😅😅
Ndio maana huwa nasema usiombe kukutana na mpumbavu humu, utajuta...Kinachotokea ni mimi na wewe tukifahamiana kwa ID fulani, ukiandika kitu humu ndani nakuja kukuamshia kwa ID nyingine (parody).
Lakini kwa sababu unajua touches zangu, utagundua tu huyu ni fulani amenijia kwa ID tofauti.
Na ndiyo maana watu kwa sasa wanajua ID hizi na hizi ni za fulani. Haujiulizi wamejuaje?
Ni ujinga wa highest order.Hii ni kukosa KAZI,
Kujifariji😂.
Pokea simu basi Binti usiye na usikivu.Ngumu sana mtu kunipanikisha humu.
Niko Namanyere, nipigie kwa haloteli 😅Pokea simu basi Binti usiye na usikivu.
Poa,Niko Namanyere, nipigie kwa haloteli 😅
kwendraaaa haunitishi bwana aaah🤣Huwezi kunikatisha tamaa,umesha chelewa,penzi letu limesha ota mizizi,
Ila wewe unaweza kua mchepuko wangu,usikae tu mbali ili nisije kukusahau.
Unafikiri ukisema hivyo ndio utanirusha roho!kwendraaaa haunitishi bwana aaah🤣
mi nipo kwenye huba zitooo soon nakupa kadi ya harusi uje kushuhudia nikimpiga denda bby wangu
sikurushi roho ila nataka uje kwenye harusi yangu ili hiyo roho iruke yenyewe🤗Unafikiri ukisema hivyo ndio utanirusha roho!
Walaaaa,nimepoa kwa Toyeye barafu wa moyo wangu,sioni wala sisikii.
Utaolewa kimwili tu ila kiroho utakua kwangu.sikurushi roho ila nataka uje kwenye harusi yangu ili hiyo roho iruke yenyewe🤗