Ni vitu gani vinavyochochea ugomvi hapa jukwaani...?

Mzigua_255

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2026
Posts
814
Reaction score
1,646
Ni vitu gani vinavyochochea ugomvi hapa jukwaani..?

binapfsi naona NI..?

Kukosoa hoja ya mtu yani mtu ka comment harafu kuna anaekosoa commen ya mwenzie kwa matusi

Kuchangia mada ukisema hii mada ya hovyo wakati wanaounga mkono hoja ni wengi wewe unakuja kukosoa kwa matusi

Nk
we unaona ni kitu gani kinachangia matusi ugomvi n.k humu jukwaani..?
 
Kujuana kumezidi. Ukiangalia wengi waliozinguana recently ni wale ambao wameshafahamiana in real life.

Mkishafahamiana in personal, kinachofuata ni dharau na kupingana kwenye nyuzi zenu maana mengine tunayoandika siyo uhalisia wetu.

Hili jukwaa ni la majadiliano kwa hoja, mkishaleta personal issues tu, baaasi.
 
Ujuaji, uchawa, udini, usomi uchwara, ulimbukeni, ushamba, uzinzi, umasikini wa kupindukia, kutokuwa na kazi/ajira/ la kufanya nk. Haya yote yanaleta hasira Kwa members wengi.
 
Unakuta mtu ni shoga alafu Kuna uzi umeanzisha kukemea mashoga, lazima akutukane

Jana tu nimeanzisha uzi nawakandia mashoga ambao wameoa na wanafamilia, nimeoga matusi hatari, wengine wanaonitukana watu wazima na tunawaheshimu humu jf, najiuliza wanawezaje kuwa mashoga
 
Kujuana kumezidi. Ukiangalia wengi waliozinguana recently ni wale ambao wameshafahamiana in real life.

Mkishafahamiana in personal, kinachofuata ni dharau na kupingana kwenye nyuzi zenu maana mengine tunayoandika siyo uhalisia wetu.

Hili jukwaa ni la majadiliano kwa hoja, mkishaleta personal issues tu, baaasi.
Umesema kweli,wanaogombanaga wanajuana.
 
Kujuana kumezidi. Ukiangalia wengi waliozinguana recently ni wale ambao wameshafahamiana in real life.

Mkishafahamiana in personal, kinachofuata ni dharau na kupingana kwenye nyuzi zenu maana mengine tunayoandika siyo uhalisia wetu.

Hili jukwaa ni la majadiliano kwa hoja, mkishaleta personal issues tu, baaasi.
Hii ni ukweli kwa asilimia kubwa sana.
 
Back
Top Bottom