Ni vitu gani vinavyochochea ugomvi hapa jukwaani...?

Ni vitu gani vinavyochochea ugomvi hapa jukwaani...?

Ukiona uzi uzi una reply 200 minutes 30 ago. pitia chap utakuta
 
Ukiona uzi uzi una reply 200 minutes 30 ago. pitia chap utakuta
 
🤣🤣🤣kwa hiyo mnajuana kwa majina na picha au sio.?
Nijuane na hawa vijana wa kuanzia 2020 ? 😂😂😂
Nipo busy na majukumu yangu binafsi ukizingatia Dada yangu unazeeka unahitaji back up ya mdogo wako apa
 
Kutetea timu, vyama, au dini kama vile unalipwa mshahara, huku ukiona kila anayepingana na wewe ni kama adui yako.

Kuanzisha mada za kichokozi makusudi kama wanavyofanya baadhi ya members humu, ile kutumia jina la mtu kutaka kumaanisha kitu fulani.
 
Kuna wale walionzaga ugomvi humu wakapeana namba pm wakaenda kuzichapa huko mtaani ila Mmoja alikimbia baada ya Kuona mwamba mtu wa mazoezi.
Ule uliwaacha watu hoi
 
UNAKUTA UNAFUATILIA KIDUME MWENZAKO 24 HRS ILI UMUITE SHOGA NA MAJINA YOTE ILI UFAIDIKE NA NINI HASWA?
Kweli unakuta mwanaume mzima amekamilika anakuja JF kuanza kubadilisha majina ya watu kuwa viungo vya uzazi vya mwanamke na other body parts.

Sasa unajiuliza huyu ni mwanaume kweli kakamilika au shoga?

Kibaya zaidi utakuta anawatag rafiki zake kwenye huo utoto mpaka unabaki kushangaa!

The Icebreaker
 
Kuna wale walionzaga ugomvi humu wakapeana namba pm wakaenda kuzichapa huko mtaani ila Mmoja alikimbia baada ya Kuona mwamba mtu wa mazoezi.
Ule uliwaacha watu hoi
Huu utaratibu unafaa sana watu wakizinguana wapeane location wakamalizane tofauti zao
 
😀😀😀😀Weeee
Mbona huko selfika ameandika sana aisee watu wana mambo ya ajabu halafu hii mitandao inatunza mambo. Baadaye umeshakuwa public figure halafu mihemko ya mitandao nayo inakuja kukuharibia
 
Back
Top Bottom