Ni vita, Rage amvaa Mnyika

Rage ni muwamba ngoma tu ivyo nilazima avutie kwake,ila kwenye maongezi yake sijaona mantiki yoyote,
mfano:-hapo chini{mwishoni} amesema kua mh.mnyika anapingaga ata" jamba ambalo mwananchi wa kawaida halimgusi sana".Je anaushaidi gani?
Nimjuavo mh.mnyika ni kiongozi makini na mwenye kutetea haki za wananchi tena kwa umakini na hayo yanaonekana wazi ubungo.
Hivyo Mh.rage ni lazima ajue tume ya uchaguzi ni kiungo nyeti na chenye impact kubwa kwa wananchi ,chombo hiko kinaposhikiliwa na viongozi dhaifu au wasio na sifa muhimu ni hatari kwani mwisho wa siku wananchi watatangaziwa matokeo ambayo si sahihi.
Mh.Rage asikurupuke akajipange sawa sawa!

acha upupu
 
Nina mashaka kama Rage anaweza ku access JF na kusoma ushauri aliopewa kwani elimu yake na ujanja ujanja wake wote haujamu expose kwenye mitandao Pure kilaza
 
Naomba mwana Chadma yoyote humu JF anitajie ahadi alizotekeleza John Mnyika, tunakumbuka sana wakati wa kampeni maneno yake!
 
John Mnyika
Nachukua fursa hii kuwatakia heri katika sikukuu ya noeli na heri ya mwaka mpya wenye upendo, furaha na mafanikio. Kwa waumini siku hii ni kumbukumbu ya kwa mkombozi hivyo inapaswa kuleta mabadiliko ya kuzaliwa upya kiroho na kimaisha. Leo (25/12) nimealikwa kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la nyimbo za injili na Xmas Landmark Hotel Ubungo kuanzia saa 8 mchana na kesho (26/12) nitakula chakula cha mchana na waathirika wa maafuriko Mabibo Loyola Jimbo la Ubungo. Naomba wenye zawadi yoyote tujumuike kwenye boxing day kwa ajili ya waathirika wa mafuriko; mnaweza kuja kuzitoa kesho au kama mna ratiba zingine mnaweza kutupatia kabla kupitia kwa Julius Mgaya (0715745874 au 0768503331) wa ofisi ya mbunge. Mwisho wa mwaka ni wakati wa kumshukuru Mungu na kurudisha kwa umma; tujumuike na familia pamoja na waliokumbwa na matatizo mbalimbali katika jamii wakiwemo waathirika wa maafa ya maafuriko yaliyotokea Dar es salaam na maeneo mengine ya nchi yetu.
Nape kaalikwa wapi?

Mkuu mnyika nasikia Kimara pia kuna waathirika panga uje kula nao chakula cha mchana siku moja na kuwasikiliza.

Wanasiasa simu hizi matamasha ya nyimbo za injili imekuwa fashion! Mimi naomba nialikwe kwenye mauldi ama kwenye tamasha la kaswida
 
Naomba mwanachama yeyote wa jf humu ndani aweke ahadi za "Mh. Rage" na alivo tekeleza.
 
Rage amekuwa msemaji wa Rais? Rage yule yule rafiki yake Muhidin Ndolanga? Kaazi kweli kweli
 
Naomba mwana Chadma yoyote humu JF anitajie ahadi alizotekeleza John Mnyika, tunakumbuka sana wakati wa kampeni maneno yake!

Mnyika ni mbunge wangu na namkubali kwa hoja zake. katika hili la ahadi naomba unikumbushe ahadi mbili tatu ili niweze kubaini kama ametekeleza ama la!
 
John Mnyika, yako wapi maji uliosema utaleta Ubungo, ziko wapi barabara ulizosema utajenga, liko wapi soko la wamachinga wa Manzese, liko wapi soko Tandale uliosema utajenga? ziko wapi barabara za Sinza, maji Kimara yataanza kutoka lini?
 
Mnyika ni mbunge wangu na namkubali kwa hoja zake. katika hili la ahadi naomba unikumbushe ahadi mbili tatu ili niweze kubaini kama ametekeleza ama la!

1.Kujenga Machinga Complex mbili moja, Manzese na ingine Ubungo
2. Kujenga soka la vyakula Tandale
3. Kuleta maji kimara pamoja na Ubungo, Sinza,
4. Kujenga barabara Kimara Bonyokwa na Temboni.
5. Kutoa ajira kwa vijana
 
Changia mada.
Na si kuanzisha mada ndani ya mada.
Unaharibu mjadala.
 
Unajua tunafanya Makosa sana Kuanza Kumjadili Mtu Kama Rage!! Rage Huwa anafikiri kwa kutumia full Masaburi!! Sasa Kuna Haja ya Kumjadili?? GT Think about the Topic, Imeandikwa na Jamba Leo ndio topic ya Kujadili?
 
John Mnyika, yako wapi maji uliosema utaleta Ubungo, ziko wapi barabara ulizosema utajenga, liko wapi soko la wamachinga wa Manzese, liko wapi soko Tandale uliosema utajenga? ziko wapi barabara za Sinza, maji Kimara yataanza kutoka lini?
Mnyika sio wa kuulizwa Haya Masali!! Tuwaulize Tunaowapa Kodi Zetu!! Mnyika yeye ni Msimamizi
 
Changia mada.
Na si kuanzisha mada ndani ya mada.
Unaharibu mjadala.

Naona bado mbege ipo kichwani, hivi wewe kazi yako kupangia watu wazima cha kuandika humu JF? Ushauri wangu kwao fungua forum yako uweke sheria na masharti yako sawa mkuu, JF ni jukwaa huru!
 
1.Kujenga Machinga Complex mbili moja, Manzese na ingine Ubungo
2. Kujenga soka la vyakula Tandale
3. Kuleta maji kimara pamoja na Ubungo, Sinza,
4. Kujenga barabara Kimara Bonyokwa na Temboni.
5. Kutoa ajira kwa vijana

Unaonaje uanzishe sredi nyingine uulize hayo uyasemayo? Maana hapa unataka kutuvuruga na kututoa nje ya mada,Tafakari chukua hatua.
 
Naona bado mbege ipo kichwani, hivi wewe kazi yako kupangia watu wazima cha kuandika humu JF? Ushauri wangu kwao fungua forum yako uweke sheria na masharti yako sawa mkuu, JF ni jukwaa huru!

Ni vema ukawa muelewa,ahadi za mnyika zinatoka wapi hapa kwenye mjadala wa katiba?

Mbege nazo zimekujaje kwenye siasa?
Haupo siriazi.
 
1.Kujenga Machinga Complex mbili moja, Manzese na ingine Ubungo
2. Kujenga soka la vyakula Tandale
3. Kuleta maji kimara pamoja na Ubungo, Sinza,
4. Kujenga barabara Kimara Bonyokwa na Temboni.
5. Kutoa ajira kwa vijana

ritz, kafanyiwe maombi kaka.
Sikubaliani na hio tabia yako yakuchangia maada ukiwa 'Bar',
naamini siku ukichangia wakati upo kwako utakua na mchango mzuri saaana!
 
Back
Top Bottom