Mendelian Inheritanc
Member
- Dec 25, 2011
- 86
- 11
Hakika Mnyika akinyamaza kwa hali hii mawe lazima yatapiga kelele tu, rege anatumia nyongo kufikiri badala yakutumia bongo kufikiri na hii ndio athari yake mnayoiona
Duh! hujui? alighushi stakabadhi ya malipo ya sh. milioni mbili akahukumiwa miaka miwili jela akatoka kwa msamaha wa Rais(Kikwete) baada ya kutumikia mwaka mmoja hivyo iaonekana bado ana hangover ya segerea
MBUNGE wa Jimbo la Tabora Mjini, Ismail Aden Rage (CCM) amemjia juu Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) akimtaka kuacha kuubeza uteuzi wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni. Badala yake, amemtaka afahamu kuwa, yote yanayofanywa na Rais Kikwete yamo ndani ya mamlaka yake kikatiba.
Jamani, mwambieni Mnyika aache kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa kupinga kila kitu. Hivi Rais amekosea wapi Alichokifanya si kimo ndani ya katiba ya nchi ambayo ilimpa rais kuteua tume iliyosimamia uchaguzi mkuu uliopita na ambao Mnyika alishiriki na kushinda? alihoji.
Rage, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi mkoani Tabora, alisema Mnyika na viongozi wengine wa kambi ya upinzani wanatumia nguvu nyingi kubeza mchakato wa kuelekea kupatika kwa katiba mpya, badala ya kuhangaika kutatua kero za wananchi.
Alisema kiongozi wa kweli ni yule anayeguswa na matatizo ya mwananchi, na si anayetumia muda mwingi kupinga kila jambo, hata ambalo mwananchi wa kawaida halimgusi sana.
Chanzo: Jambo leo
ni kweli mkuu mtm.. Hii ni hatari sana kwa nchi yetu ndo ata hakuna la maana linalofanyika maendeleo tuko nyuma kabisa, huyu alifungwa tena kwa kosa la wizi, mdokozi pia kibaka uyu, kama angefanya udokozi wake manzese wallahi tungemchoma moto, leo hii kaaminiwa na ccm wezi wenzake, watarajia ataongea nini, nawalaumu sana ata simba wanajua uyu ni kibaka wao wamempa madaraka lzm alikata mlungula, tabora pia watakuwa wanajua wamemchagua kiongozi mwizi pia mdokozi, kwa kuwa alifungwa kwa kosa la kukwapua ela pale fat sasa tff, lakini kuna siku mafisadi watashindwa....
kwa lipi mkuu... Au ndo umeshaianza xmas kwa kasi, nguvu pia Hari mpya??? Drink responsibly
kuna mfano mbaya sana "ashakum si matusi" ... baba akiamua kujisaidia haja ndogo wkenye kona ya ukuta wa nyuma yake, ni chini ya mamlaka yake, lakini kamwe ile haiwezi kuwa sahihi... Rage asihalalishe kila mamlaka iliyo chini ya rais basi ni halal na yafaa kuliwa
Kinachosikitisha zaidi ni sisi watanzania, huyo jamaa ni convict, alifungwa kwa kosa la kisheria, sasa ni mwenyekiti wa wazazi tabora, mwenyekiti wa Simba, mbunge, anaendesha radio na anabwabwaja hovyo.............. THIS IS TOO SICK TO OUR NATION
HE SHOULD BE BARRED AS A CONVICT
Mkuu tuweke record sawa. yote uliyosema ni sahihi na ni kweli alitoka kwa msamah wa rais akiwa amebakisha kipindi kifupi cha kumaliza kifungo chake. Pia mkuu kumbuka kwamba Rage alikuwa amekata rufaa mahakama kuu. usikilizwaji wa rufaa yake ulicheleweshwa na hukumu ikaja kutoka akiwa tayari yuko nje na kuonekana kwamba alishinda rufaa yake. Pamoja na kwamba alisota segerea lakini kisheria ni kwamba Rage hakufungwa na ndio maana akagombea Ubunge. kwa maana nyingine alitakaswa dhidi ya tuhuma za wizi kwa njia ya kughushi stakabadhi! Simjui Rage zaidi ya kujua tu kwamba ni mwenyekiti wa club yangu na tuna mpango wa kumfukuza uenyekiti. Nilikuwa tu nataka kuweka record sawa humu ndani
Rage shughulika na matatizo ya jimbo lako. Mnyika ni namba nyingine sio size yako.
Hivi ruge ana mke au mme,
maana kuna fununu huku mtaani sizielewi vizuri, wanadai alipokua jela wali mkamerun sasa anaendelea ivo,
sio umbea jaman ni vijimambo nimevipata hapa mtaani nkiwa saloon.
Habari za Jela ebu muulize Lema, atakupa ukweli wote!
mhh mbona kama apa Rage ndo anataka umaarufu? mbo za nin izi?
Nasikia Rage alikuwa anapakuliwa Na nyapala huko jela.