Ni vita, Rage amvaa Mnyika

Ni vita, Rage amvaa Mnyika

Mh Mnyika,
Nashukuru kwa majibu yako mazuri lakini nasikitika baadhi ya ahadi zako unazikana...anyway kama ujasema wakati wa kampeni zako za ubunge kuwa utaleta maji pamoja na kujenga barabara ndio tabia za wana siasa kuyakana maneno yao!

Sikukuu njema Mh Mnyika

Kama kawaida yako, ulikurupuka kuandika kwa akili yenu magamba kuahidi vitu msivyovijua! Sasa umejibiwa na kuelekezwa unaanza kujing'atang'ata kama demu wa kijijini anayetongozwa.

Nenda kamkumbushe kikwete zile ahadi zaidi ya sabini ataanza lini kuzitekeleza, maana mwaka ndo umekwisha na hatuoni kinachoendelea!
 
mimi ningekuwa raisi watu kama rage ningewafukuza warudi kwao kazi kuuza mirungi halafu na kujifanya watanzania
 
We Rage nani kakueleza Mnyika unatafuta umaarufu?Mnyika siku nyingi alishakuwa maarufu tokea Udsm tunamfahamu!Muulize Keenja.We bila huo uchair wa mnyama nani angekufatilia na ulivyo mzee wa ndiooooooo bungeni!We matatizo ya Mnyama,Tabora mjini au jumuiya wa wazazi umeyamaliza?Acha majungu!Hujui hata Kiswahili Mnyika hajapinga bali amekosoa.Tungekuwa tunahama timu kama vyama ningehama kwa ajili yako kwa timu niipendao S.s.club.
 
Rage si anatimiza wajibu kwa bwana ake JKey au hata hili mpaka tuandikiwe notisi tusome? Isingekuwa JKEy huyo Rage angetoka mapema gerezani ama tumesahau hata hili? Rage andelea mkubwa kujipendekeza kwa JKey awamu ijayo ya uteuzi wa baraza la wapiga dili basi unaweza ukapata cheo murua kwa kuwa mtetezi mzuri wa JKey. Though unapokuja front basi watu tunakudharau kwa upupu unaotoa mdomoni mwako
 
We Rage nani kakueleza Mnyika unatafuta umaarufu?Mnyika siku nyingi alishakuwa maarufu tokea Udsm tunamfahamu!Muulize Keenja.We bila huo uchair wa mnyama nani angekufatilia na ulivyo mzee wa ndiooooooo bungeni!We matatizo ya Mnyama,Tabora mjini au jumuiya wa wazazi umeyamaliza?Acha majungu!Hujui hata Kiswahili Mnyika hajapinga bali amekosoa.Tungekuwa tunahama timu kama vyama ningehama kwa ajili yako kwa timu niipendao S.s.club.
 
Mi nadhan ni ili nae asikike wamo na jinsi Wagen ki siasa ktk chama chao wanavyoonekana waoga utadhan HAWAKUCHAGULIWA NA WANANCHI bali walipewa "kazawadi" ka ubunge... Hivyo kila akifanyacho m'kiti wao lazima waonyeshe kumsapoti. Ingawaje kiutashi najua Ukweli anaujua ila bas afanyeje kakibarua kenyewe ndo hivyo spana mkononi..
 
Kama kawaida yako, ulikurupuka kuandika kwa akili yenu magamba kuahidi vitu msivyovijua! Sasa umejibiwa na kuelekezwa unaanza kujing'atang'ata kama demu wa kijijini anayetongozwa.

Nenda kamkumbushe kikwete zile ahadi zaidi ya sabini ataanza lini kuzitekeleza, maana mwaka ndo umekwisha na hatuoni kinachoendelea!
Sijui kwa nini ukiwa Chadema na akili zinahama!

Wewe unamuona Mnyika ni Mtume kila anachosema ni kweli, tumia akili yako wakati mwingine hata kama una ubongo mdogo kama wa sisimizi.

Mbona kashindwa kusema ahadi alizohaidi na kuishia kusema ahadi zingine sikusema zipi sasa alizosema kazifanyia kazi?

Nimemwambia ni kawaida yao wana siasa kuyakana maneno yao!

Tumeona hata Lema kule Arusha kakana kuwa akusema kama atajenga Machinga Complex mbili na barabara za juu..

Dr Slaa, nae alisema Chadema wakichukuwa nchi saruji itauzwa mfuko mmoja Sh5000, saizi ukimuliza atakana.

Ilo la mwanake wa kijijini siwezi kulitolea ufafanuzi sababu mimi sijazaliwa kijijini nimezaliwa mjini.

Pale karibia na Ikulu
 
Jamani tuwe waelewa na hizi maada. Tusijaribu kukimbilia ktk ushabiki wa vyama. Usipinge mada yeyote kama hujui nini kinazungumzwa. Mimi nafikiri unaweza ukapinga vizuri au kukubali maneno ya Rage kama ulisikiliza vizuri alichosema Mnyika na baadae Rage. Tuepuke ushabiki. Tutajikuta sawa na wabunge wa CCM wanaokataa kila jambo linalotoka kwa CHADEMA. Nawasilisha
 
Sijui kwa nini ukiwa Chadema na akili zinahama!

Wewe unamuona Mnyika ni Mtume kila anachosema ni kweli, tumia akili yako wakati mwingine hata kama una ubongo mdogo kama wa sisimizi.

Mbona kashindwa kusema ahadi alizohaidi na kuishia kusema ahadi zingine sikusema zipi sasa alizosema kazifanyia kazi?

Nimemwambia ni kawaida yao wana siasa kuyakana maneno yao!

Tumeona hata Lema kule Arusha kakana kuwa akusema kama atajenga Machinga Complex mbili na barabara za juu..

Dr Slaa, nae alisema Chadema wakichukuwa nchi saruji itauzwa mfuko mmoja Sh5000, saizi ukimuliza atakana.

Ilo la mwanake wa kijijini siwezi kulitolea ufafanuzi sababu mimi sijazaliwa kijijini nimezaliwa mjini.

Pale karibia na Ikulu

Jakaya Kikwete ALIKANUSHA kwamba alisema Hahitaji kura za Wafanyakazi wakati hata watoto waliotazama TV siku ile anawatisha Wafanyakazi alisikia akisema Hahitaji kura zao kwa sababu ya Tsh.315,000/=.Ila amejitahidi Kujenga Reli mpya ya Dar-Mwanza,Vile vile nasikia Meli Mpya Nne za Maziwa Makuu na Bahari ya hindi zimewasili majini Victoria,Tanganyika na Nyasa.Kwake yeye Mgaya ndio ilikuwa issue kwelikweli!!!!
 
IQ za Mnyika na Rage zipo mbali sana. Ni sawa na kuichukua timu ya soka ya maveterans wa Kawe, au Temeke, au Segerea au Ukonga au popote pale ukawapapambanisha na Barcelona eti wagombee ngao ya hisani.
 
Wananchi wazalendo ni lazima watumie muda mwingi kuhakikisha kuwa mchakato wa kupata katiba mpya ya nchi yetu hauchakachuliwi, kuepuka kupata katiba ambayo haitakidhi matakwa ya wengi!! Katiba mpya ikipatikana kero nyingi za wananchi zitatatuliwa kirahisi; kwa mfano mamlaka ya Rais kuteua watu kwenye nafasi nyeti kumbe ni mafisadi ambao vitendo vyao vinaongeza umasikin kwa wananchi, mamlaka hayo ya uteuzi yakithibitiwa na bunge upuuzi wa kuwapa vyeo maswahiba wa rais wasiowaadilifu utakwisha na hivyo kuwapunguzia machungu wananchi.
Wana jf nisidieni huenda mm siijui vizuri sheria niliwahi kusikia ukishitakiwa huruhusiwi kugombea uongozi huyu Rage si alishatumikia kifungo ukonga alipataje nafasi ikiwa alishawahi kufungwa?
 
Aise rtz mwaka umeisha badilika basi 2012 ujivue gamba kifikra.
 
Mie najuta timu yangu mnyama kuwa na mwenyekiti wa aina hii. Kweli uchaguzi ujao huyu ni tupa kule,anatuaibisha sana
 
Ritz,

Asante kwa maoni yako. Hata hivyo umetaja ahadi nyingine ambazo zijawahi kuzitoa wakati wowote kwenye kampeni zangu popote. Sijawahi kuahidi machinga complex mbili, kwa sababu naamini kwenye uzalishaji na huduma zaidi ya uchuuji. Tandale haipo katika jimbo la Ubungo, ipo Jimbo la Kinondoni; hivyo ahadi uliyoitaja sijawahi kuitoa. Kuhusu maji, barabara na ajira; ahadi zangu zilikuwa tofauti na ulivyozieleza; kwa kuwa naelewa vizuri kuwa kazi ya mbunge ni kuwakilisha, kuisimamia serikali na kutunga sheria. Ahadi zangu wakati wa kampeni niliziandika kwa ajili ya rejea kwa sababu niliamini ni mkataba baina yangu na wapiga kura. Mara baada ya kuchaguliwa nilizirudia hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/91961-ujumbe-wa-mbunge-shukrani-twende-kazi.html wakati wa kuwashukuru ili kuunganisha nguvu ya umma katika utekelezaji na pia upatikane msingi wa kupima utekelezaji wa ahadi husika katika kipindi cha miaka mitano. Kwa mwaka huu wa kwanza nimekuwa na utaratibu wa mara kwa mara kutoa mrejesho wa masuala mahususi, unaweza kufanya rejea tu humu. Lakini kwa kuwa tunaelekea mwisho wa mwaka nitatoa pia taarifa nyingine ya ujumla; na pia nitaelekeza zitolewe taarifa za kata kwa kata. Nakutakia heri ya Xmas na mwaka mpya na tuendelee kushirikiana katika utumishi wa umma.
JJ
Asante sana mheshimia maana huyu Ritz huwa anamatatizo ya kufikiri. Asante kwa kumjibu
 
Mh Mnyika,
Nashukuru kwa majibu yako mazuri lakini nasikitika baadhi ya ahadi zako unazikana...anyway kama ujasema wakati wa kampeni zako za ubunge kuwa utaleta maji pamoja na kujenga barabara ndio tabia za wana siasa kuyakana maneno yao!

Sikukuu njema Mh Mnyika
Ritz una akili kweli, mbona unalazimisha vitu ambavyo havipo, umepewa sehemu ya kufuatilia ahadi na jinsi zinavyotekelezwa bado unabishana, hivi ninyi pro-CCM mtaacha lini ushabiki maandazi, kazi kushabikia lichama zee linalokaribia kujifia, shame on you.
 
Kapotolo umenena tatizo la Ritz anamfananisha mnyika na Raisi wake aliyeahidi vitu ambavyo havitekelezeki ninavyojua mm hizo machinga complex ni ahadi ya mkuu wa nchi tena alisema atajenga tano. CCM imepoteza mvuto hao akina Rage wanatapatapa tu Mnyika ni mwamba HAUPAPASWI KITOTO
 
Naomba mwana Chadma yoyote humu JF anitajie ahadi alizotekeleza John Mnyika, tunakumbuka sana wakati wa kampeni maneno yake!
ritz naomba unitajie ahadi alizotekeleza Rage na Kikwete wake. Nakushauri uendekumsaidia mzee Mohamed Saidi kuhubiri chuki dhidi ya Nyerere hilo nimuafaka kwa ubongo wako
 
Back
Top Bottom