Ni vita, Rage amvaa Mnyika

''Alisema kiongozi wa kweli ni yule anayeguswa na matatizo ya mwananchi, na si anayetumia muda mwingi kupinga kila jambo, hata ambalo mwananchi wa kawaida halimgusi sana.''


Nimeanza kuwa na wasiwasi wa uwezo wa kufikikiri wa Rage. In maana muundo wa tume ya taifa ya uchaguzi ni jambo ambalo halimgusi sana mwananchi wa kawaida??? Nadhani alipokaa jela walimfungua baadhi ya bolt za ubongo na sasa amekuwa loose.
 
Back
Top Bottom