Daaa mkuu hazard unaua ndgSio usmart wa mavazi nafikiri mtoa mada anamaanisha wife wake ni mweupe kichwani...empty set,zero yani hamna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa mkuu hazard unaua ndgSio usmart wa mavazi nafikiri mtoa mada anamaanisha wife wake ni mweupe kichwani...empty set,zero yani hamna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha yan mtoa mada kachukua demu aliestahili kua mke wa zero iq😀😀 Zero IQ
Kama ni hivo amsomee vitabuSio usmart wa mavazi nafikiri mtoa mada anamaanisha wife wake ni mweupe kichwani...empty set,zero yani hamna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Awe kama jollieHahaha yan mtoa mada kachukua demu aliestahili kua mke wa zero iq
Mnunulie kadi ya uwanachama maktaba ya taifa, yote yatakuwa kama utakavyo.
Hi comment ni nomaMpeleke akajiunge bawacha atakuwa zaidi ya utakavyo
Kabla ya kumuoa hukuona hayo mapungufu?unaweza ukawa unafanana mkuu ndi maana ningependa awe kama mimi boss
asante sana kwa ushauri mkuu, kwanza niko kwenye ndoa ya kikristo hivyo hilo jambo ni lisilowezekana .Ulimkuta katika mazingira yaliyomjenga jinsi alivyo.Alikua dada wa kazi,st 7 aliyekulia kijijini....leo hii unamuona mshamba na mawazo yenu hayaendani??
Naona kama unatengeneza sababu ya kumuacha au kutengeneza mazingira ya kutafuta mwingine.
Mbadilishe kwa matendo sio maneno.Kama mfuko unaruhisu toka nae out kwenye mazingira yatofauti saa ingine hata safiri nae.
Mshirikishe kwenye mambo yako ya kimaendeleo na kuonyesha kwamba unathamini mawazo yake na ukiona hayapo sawa jadiliana nae.
Ukimfungulia biashara ama ukimtafutia kazi hatakua na muda wa kupiga story na wanawake wengine.
Hata kukiwa na makongamano ya kina mama ,ya dini au hata kozi fupi za ujasirimali na zenye manufaa mpeleke.
Atabadilika
Sent using Jamii Forums mobile app