hapana jamani mimi pia huuza nguo so i know exactly his size maana najua kiuno fulani cha suruali anaweza vaa size gani..but i always bought white..
Wana MMU naombeni msaada wa ushauri..
Kabla sijaoewa nilikua na tabia ya kuwanunulia wazazi wangu zawad mbalimbali..mfano nikimnunulia mama vitenge au makatalogi yaliyotoka baba nae humnunulia mashati, suruali, viatu, mikanda n.k nikinunua underware za mama na nguo nyingine za ndani bas na baba namnunulia vilevile boxerz, pants,vest n.k na huzipeleka kwa pamoja..walikua wameshazoea na kuzifurahia zawad..na nilifanya hivi kwa muda mrefu tu na nlikua sina ubaguz wa mzaz yeyote.wote wanapata.
baada ya kuchumbiwa pia sikuacha hata mchumba wangu aliona wakat nanunua zawad.hizo na wakat mwingine tunachagua wote nae akimnunulia.mama yake.
Baada ya.kuolewa sasa..siku moja nikanunua kama kawaida makadet na mashati pamoja na nguo za mama na wakwe zangu kama zawadi nikamwita mdogo wangu aje dukani kuchukua za wazaz wangu awapelekee.sasa rafiki yangu nliekua nae akanambia unafanya nini? unamnunulia babako nguo mpaka leo? wewe mke wa mtu acha mke wake (mama yangu) amnunulie! hutakiwi kumnunulia tena! mnunulie mama tu! mh na.maneno mengi tu aliongea yaliyonikatisha tamaa mpaka ikabidi nisitishe zawad hizo mpaka leo sijawahi tena kuwanunulia sio baba wala mama kwani naogopa kumpa mama bila baba kwani nilishazoea kuwapa wote.
Nauliza jamani;: kuna ubaya wowote kwa binti alieolewa kumnunulia baba yake zawadi kama nguo na nguo za ndani n.k?
sina amani najisikia vibaya kwani wazaz wangu wataona nimewatelekeza tangu niolewe hakuna zawadi tena..naombeni mnisaidie wale wenye uzoefu na haya mambo jamani.
umnunulie babako boxer na mamako afanye nn?c bure kuna namna hapa.inamana ww unajua size ya kiuno cha baba ako kuliko mama ako anavyomjua.fanya ukafunzwe
Nadhani zawadi si lazima iwepo boxer, waweza kununua vitu vingine na bado daddy yako akafurahi na kukupa kheri.
Ila swali kama hilo jaribu kumuuliza mama yako, kama yeye anaona ni sawa, unaweza kununua.
Zawadi zoteee sawa ila sio zinzolinda nyeti za mtu. Hapa ni lazima mhusika mwenyewe ahusike. Kwa mama bado unaweza kumnunulia. Nguo za ndani kwa baba zinaweza kuleta suala la research!
Wewe mtoto umejuaje size ya chupi ya baba yako....????????...........
Mimi naona ingekuwa kosa basi mama yako ndo angekuwa mtu wa mwanzo kukukataza...anyway wengi wape acha kununua hizo boxer
Nguo za ndani unaruhusiwa kumnunulia ila unatakiwa usimpe mkononi ukifika pale kwake unamrushia na wewe unaondoka halafu unaenda tena kwake baada ya wiki.Wana MMU naombeni msaada wa ushauri..
Kabla sijaoewa nilikua na tabia ya kuwanunulia wazazi wangu zawad mbalimbali..mfano nikimnunulia mama vitenge au makatalogi yaliyotoka baba nae humnunulia mashati, suruali, viatu, mikanda n.k nikinunua underware za mama na nguo nyingine za ndani bas na baba namnunulia vilevile boxerz, pants,vest n.k na huzipeleka kwa pamoja..walikua wameshazoea na kuzifurahia zawad..na nilifanya hivi kwa muda mrefu tu na nlikua sina ubaguz wa mzaz yeyote.wote wanapata.
baada ya kuchumbiwa pia sikuacha hata mchumba wangu aliona wakat nanunua zawad.hizo na wakat mwingine tunachagua wote nae akimnunulia.mama yake.
Baada ya.kuolewa sasa..siku moja nikanunua kama kawaida makadet na mashati pamoja na nguo za mama na wakwe zangu kama zawadi nikamwita mdogo wangu aje dukani kuchukua za wazaz wangu awapelekee.sasa rafiki yangu nliekua nae akanambia unafanya nini? unamnunulia babako nguo mpaka leo? wewe mke wa mtu acha mke wake (mama yangu) amnunulie! hutakiwi kumnunulia tena! mnunulie mama tu! mh na.maneno mengi tu aliongea yaliyonikatisha tamaa mpaka ikabidi nisitishe zawad hizo mpaka leo sijawahi tena kuwanunulia sio baba wala mama kwani naogopa kumpa mama bila baba kwani nilishazoea kuwapa wote.
Nauliza jamani;: kuna ubaya wowote kwa binti alieolewa kumnunulia baba yake zawadi kama nguo na nguo za ndani n.k?
sina amani najisikia vibaya kwani wazaz wangu wataona nimewatelekeza tangu niolewe hakuna zawadi tena..naombeni mnisaidie wale wenye uzoefu na haya mambo jamani.
Nguo za ndani unaruhusiwa kumnunulia ila unatakiwa usimpe mkononi ukifika pale kwake unamrushia na wewe unaondoka halafu unaenda tena kwake baada ya wiki.
mazoea sasa na nliona ni sawa maana hata mama hajawahi kunionya nikaona ni sawa tu.
asante ndugu kwa mawazo ya wengi nayazingatia sikujua kama ni kosa na kwakua sasa nimegundua nilikua nafanya kosa nitaacha.
wala hatujakuuliza km unauza ama huuzi nguo.ww elewa ni makosa acha ubishisimaanishi hivyo wala sina nia mbaya..jujua viuno vya suruali si tatizo kwani nauza nguo na najua kama anavaa 38 kiuno bas boxer itakua size gani..ndo maana nikauliza kama ni vibaya kumnunulia mzazi mavazi yeyote ni kosa haijalishi ya ndani ama ya nje