Ni vibaya binti kumnunulia baba yake boxer?

Ni vibaya binti kumnunulia baba yake boxer?

Kama ulimuona kavaa imechanika si mbaya ukamsaidia..
 
Mi sijawahi kusikia we ndio wa kwanza kumsikia unamnunulia babako boxer
 
Endelea kuwanunulia mbona zawadi ziko nyingi tu?
Boxer atanunua mama wewe endelea kununua nguo nyingine tu....
 
Huwa unamuuliza anapenda boxer za rangi gani?
 
kamuulize mama yako kama kuna kitu si sawa atakwambia, achana na wanajf

sasa mimi nikiwapa wanazifurahia wala mama hajawahi kuniambia kama ni vibaya ama laa maana huwa nampa yeye ndipo anapomwambia baba zawad kutoka kwa bintiyo na kisha baba hunipigia simu na kushukuru sasa nikimuuliza mama mmh sijui atanifikiria vip ila sijafikiria kumuuliza
 
Huwa unamuuliza anapenda boxer za rangi gani?

hapana jamani mimi pia huuza nguo so i know exactly his size maana najua kiuno fulani cha suruali anaweza vaa size gani..but i always bought white..
 
Endelea kuwanunulia mbona zawadi ziko nyingi tu?
Boxer atanunua mama wewe endelea kununua nguo nyingine tu....

asante maana hapo nlipoambiwa hata shat usinunue ndo nlichoka kabisaa
 
Mi sijawahi kusikia we ndio wa kwanza kumsikia unamnunulia babako boxer

samahani kwa hilo sijui kama ni wa kwanza JF ama wa kwanza duniani..so nimegundua nguo nyingine sawa but za ndani hapana..so sitarudia tena
 
ila sasa mimi nimeolewa ndugu..baba pads alitununulia sana wakati.tunasoma tena sekondari..ile nliambiwa hain shida hata nlivofanya vile kabla sijaolewa..tatizo ni sasa nishaolewa eti baba hastahili zawadi.zangu.tena?
wacha watu wongee yao kwani kipindi unamnunulie boxer alishawahi kukukatalia usinunue au alikuambia ni vibaya? Kwasasa ndo unafanya vibaya kuacha kununua endelea na utamaduni wako uliojiwekea.na utapata thawabu kutoka kwa allah
 
anayekukataza kumnunulia boxer ni rafiki yako sio moyo wako.chakujiuliza ni huwa baba anafurahia zawadi zako? vilevile kumbuka kununua vya baba na Mama kwa pamoja huongeza upendo kwa wazazi wako.ni alama yakujali na kuonyesha uthamini.unalofanya linamfanya baba yako apate uamini kuwa wewe bado ni mtoto wake,bado huogopi kukaa juu ya mapaja yake kwa upendo anaamini wewe unamheshimu yeye kama Baba hata sasa.


keep it up.....wewe yule ni baba yako na kwake haukui dada angu hata ukiolewa bado ni mtoto kwake.anajua unafanya hayo kwa upendo wa mtoto

asante sana kwa ushauri mzuri..ubarikiwe!
 
Back
Top Bottom