badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,117
Duuuh,ama kweli mambo dijitaliii,mana am close to wazazi na Nishafua nguo aina zote za dingi EXCEPT BOXER...na nishawahi mnunulia nguo ila hapo mhh parefuu..
But yaonekana ni kitu umefanya toka zamani and it never looked weird,WANUNULIE km kawa,ama km huwezi tena nunua tu nguo za nje kwa wote,..
Usiache kuwapa zawadi,t feels good kupewa zawadi