Yaani unamnunulia mzazi wako wa kiume boxer!!!? Bora vest aise.
Sidhani kama nikweli
Kibongobongo wengine wanaona mishe, nlivokua korea ni kama tradition mtoto wa kike na kiume wote wakipata mshahara wao wa kwanza wanawanunulia wazazi wao nguo za ndani...
ameline . Pamoja na ukubwa wa huyo aliyekuambia kuwa kwa vile umekuwa mke wa mtu ..basi hustahili kununua zawadi kwa wazazi!!!! sikubaliani kabisa. Endelea kuwatunza wazazi wako mana wakivaa mararuraru wakati uwezo kidogo unao ni aibu sana. Labda ntakushauri hizo boxer usinunue wewe tena.... mpe hela mama anunue yeye. Tatizo ni kuwa kama mama yako angekukataza toka mwanzo isingekuwa shida. Polealivonishauri huyo dada mtu mzima ambae naweza kumwita mamdogo ni kwamba sistahili kumnunulia baba zawad yeyote kwani mim ni mke wa mtu napaswa kumnunulia mama tu na.mume wangu..ila sijamaanisha boxer tu
Boxer ni kuvuka mipaka. Mama akijua atakutoa maini
ameline . Pamoja na ukubwa wa huyo aliyekuambia kuwa kwa vile umekuwa mke wa mtu ..basi hustahili kununua zawadi kwa wazazi!!!! sikubaliani kabisa. Endelea kuwatunza wazazi wako mana wakivaa mararuraru wakati uwezo kidogo unao ni aibu sana. Labda ntakushauri hizo boxer usinunue wewe tena.... mpe hela mama anunue yeye. Tatizo ni kuwa kama mama yako angekukataza toka mwanzo isingekuwa shida. Pole
Wana MMU naombeni msaada wa ushauri..
Kabla sijaoewa nilikua na tabia ya kuwanunulia wazazi wangu zawad mbalimbali..mfano nikimnunulia mama vitenge au makatalogi yaliyotoka baba nae humnunulia mashati, suruali, viatu, mikanda n.k nikinunua underware za mama na nguo nyingine za ndani bas na baba namnunulia vilevile boxerz, pants,vest n.k na huzipeleka kwa pamoja..walikua wameshazoea na kuzifurahia zawad..na nilifanya hivi kwa muda mrefu tu na nlikua sina ubaguz wa mzaz yeyote.wote wanapata.
baada ya kuchumbiwa pia sikuacha hata mchumba wangu aliona wakat nanunua zawad.hizo na wakat mwingine tunachagua wote nae akimnunulia.mama yake.
Baada ya.kuolewa sasa..siku moja nikanunua kama kawaida makadet na mashati pamoja na nguo za mama na wakwe zangu kama zawadi nikamwita mdogo wangu aje dukani kuchukua za wazaz wangu awapelekee.sasa rafiki yangu nliekua nae akanambia unafanya nini? unamnunulia babako nguo mpaka leo? wewe mke wa mtu acha mke wake (mama yangu) amnunulie! hutakiwi kumnunulia tena! mnunulie mama tu! mh na.maneno mengi tu aliongea yaliyonikatisha tamaa mpaka ikabidi nisitishe zawad hizo mpaka leo sijawahi tena kuwanunulia sio baba wala mama kwani naogopa kumpa mama bila baba kwani nilishazoea kuwapa wote.
Nauliza jamani;: kuna ubaya wowote kwa binti alieolewa kumnunulia baba yake zawadi kama nguo na nguo za ndani n.k?
sina amani najisikia vibaya kwani wazaz wangu wataona nimewatelekeza tangu niolewe hakuna zawadi tena..naombeni mnisaidie wale wenye uzoefu na haya mambo jamani.
Huu ni ushauri wa kipuuzi. Kila mtu ana mila desturi na mazoea yake muulize sababu zake za msingi zinazofanya asimnunulie baba yake zawadi. Inawezekana wana ugomvi na anafanya hivyo kumkomoa baba yakealivonishauri huyo dada mtu mzima ambae naweza kumwita mamdogo ni kwamba sistahili kumnunulia baba zawad yeyote kwani mim ni mke wa mtu napaswa kumnunulia mama tu na.mume wangu..ila sijamaanisha boxer tu
Huu ni ushauri wa kipuuzi. Kila mtu ana mila desturi na mazoea yake muulize sababu zake za msingi zinazofanya asimnunulie baba yake zawadi. Inawezekana wana ugomvi na anafanya hivyo kumkomoa baba yake