Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha

Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha

Samia mtekaji na muuaji ndipo alipotufikisha, fight fight ndio kilichobaki
 
 
Kwasisi humu wanajukwaa yanatisha,
Kuna watu hawajui hata polepole ni nani,kafanyaje hawajui,
Yaani wanatwanga ugali na mihogo yao hawana habari na chochote.
Maandamano hawajui wala hata kuna uchaguzi hawana abari.
Wapo tu mjini hapo na vijijini.
Wao maisha yanaendelea kawaida tu wapige kura wasipige,
Kwao poa tu.
Sijui kuna nani katekwa wao wapo tu.
Ni kibaka aje kuiba ndani labda ndo wanashtuka.
Sasa we majonzi ya nini?
Maisha yako tofauti sana
 
Back
Top Bottom