Mkuu Kaka Kiiza, kwa vile tuu dunia nzima wamedanganyika na wewe unajikubali kuendelea kudanganyika hata baada ya kuelezwa ukweli kuwa kitu kama hicho hakipo!.
Ila pia sishangai kwa watu kuendelea kudanganyika kwa mengi, mfano kuna uongo mkubwa kuwa Mungu yuko Mmbinguni ambako ni mawinguni!. Mungu hakai mbinguni, Mungu yupo hapa hapa dunuini, yuko ndani yako na ndani ya kila mtu!. Mbinguni, peponi na motoni kote ni hapa hapa duniani, sio mawinguni, sio peponi na wala sio juu!.
Endelea kuuamini uongo huo as long as roho yako, moyo wako na nafsi yako imeamini huo ndio ukweli weko, then amini unachoamini ili roho yako itulie!.
Asante.
Pasco