busy bees
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 2,249
- 1,332
Researches and curiosity about mythological creatures known as mermaid or merman continues ....
Researches and curiosity about mythological creatures known as mermaid or merman continues ....
Yaa walimtaja nguva sana na nilimfatiliaHuo Ni uongo Kama uongo mwingine, hakuna kitu Kama hicho ila nakumbuka Kuna mzee alisema yupo samaki anaitwa nguva maeneo yake ya uzazi yapo Kama mwanamke na anavinyweleo Kati ya gamba moja na jingine
uongo kama nani????Ni uongo tu kama CCM walivyo waongo.Endelea na kazi zingine.
Uongo kama wa Mzee wa "VYUMA VIMEKAZA"!Huku anatengeneza miwani yake ya mbao.uongo kama nani????
Mkuu hawa viumbe wapo toka enzi za Nuhu hasa majini yalipoingiliana na watu + wanyama..... Sio samaki mtu tu ila walikuwepo nusu mtu nusu nyoka (medusa) pia nusu mtu nusu farasi wanaitwa centaurNi kwa mda sasa naskia habar tofauti tofauti zisizothibitishwa, zikielezea uwepo wa hawa viumbe kwenye water bodies hususani baharini.
Story mbalimbali zitolewazo zinavutia na kunishawishi kutaka kujua zaidi na hata kutafuta vithibitisho juu ya suala hili.
Nikianzia ktk nafasi hii, kama kuna yoyote mwenye uelewa wowote kuhusiana na uwepo wa hawa samaki watu, basi mi naomba anijuze
Na itakua vizuri kama ataambatanisha na namna yoyote ile ya vithibisho kusapoti zaidi hoja zake, kwani mi mpaka hivi bado sina jibu kamili kama viumbe hawa kweli wapo duniani au la
Na yepi hasa maisha yao halisi kama ni kweli wapo?
View attachment 660366
Walikuwepo enzi za Nuhu mkuu kasome book of enoch 1 na 2 utawakuta humoHuo Ni uongo Kama uongo mwingine, hakuna kitu Kama hicho ila nakumbuka Kuna mzee alisema yupo samaki anaitwa nguva maeneo yake ya uzazi yapo Kama mwanamke na anavinyweleo Kati ya gamba moja na jingine
SawaaMkuu hawa viumbe wapo toka enzi za Nuhu hasa majini yalipoingiliana na watu + wanyama..... Sio samaki mtu tu ila walikuwepo nusu mtu nusu nyoka (medusa) pia nusu mtu nusu farasi wanaitwa centaur
Ila hawa sio wanyama kimwili lakini wapo kiroho zaidi hata mgunduzi wa marekani Christopher columbus alikiri kuwaona wakati anaelekea marekani kwa mara ya kwanza
Anyway ukitaka ujue zaidi soma kitabu cha Enock au book of giants utagundua asili yao na utagundua kwanni wanyama wengi walikuwa nusu mtu nusu mnyama kma hao centaur
ndio ni[ discovery] sijui kingereza ni kizuri hikoKumuona jini ni bahati?????