Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

mermaid11.bmp


ndo huyu ama¿¿ haki ni mrembo haswaaaa
 
kwa ulimwengu wa zoology na botany au flora na fauna hakuna hiki kiumbe.., hii specie haipo,,,

Ila kwny ulimwengu wa majini na mashetani hiki kiumbe kipo.., mzizimkavu kuja hapa elezea hii mambo
Mkuu Moshe Dayan Hakuna Samaki anaye itwa Nguvu duniani hii ni Hadithi za watu wa kale ni uongo mtupu hakuna kitu kama hicho.

huyo aliyepo makumbusho ni halisi ama picha tu????? MziziMkavu busara zako zahitajika kuhusu huyu samaki kama kweli yupo ama la!!!!!
bibie charminglady Bibie Hakuna Samaki wa nguva huo ni uongo hadithi za watu wa kale na ni imani ya uongo kabisa usiamini hii kitu hakuna duniani.
 
Last edited by a moderator:
Natatanishwa na hili jambo ambalo nimeanza kulisikia nikiwa
mdogo hadi sasa nakuwa, nimeogelea baharini, nimewahi kuvua
Samaki kama Mkunga, Ngisi, Ronaldo(Pweza) n.k lakini sijawahi
kumuona huyo Nguva.

Hapa ningependa kusikia kutoka kwenu munafahamu nini juu
ya samaki mtu NGUVA?
Its existance is a MYTH
 
samaki huyu yupo, lakini ni moja ya viumbe vya ajabu, na pili kumuona ni bahati na kama PRETA unavodai umemuona basi ujue nawe unabahati, na huyu samaki ni ktk aina za 'majjinni' sio binadamu wala sio samaki ni shape tu, na mnaosema hayupo basi tuambia neno nguva ni kitu gani?
 
A MERMAID is a legendary aquatic creature with the upper body of a woman and the tail of a fish. Mermaids appear in the folklore of many cultures worldwide, including the Near East, Europe, and Asia. The first stories appeared in ancient Assyria, in which the goddess Atargatis transforms herself into a mermaid out of shame for accidentally killing her human lover. Mermaids are sometimes depicted as perilous creatures associated with floods, storms, shipwrecks, and drowning. In other folk traditions (or sometimes within the same tradition) they can be benevolent, bestowing boons or falling in love with humans.
Mermaids are associated with the sirens of Greek mythology and with the Sirenia a biological order which comprises dugongs and manatees. Historical sightings by sailors may have been the result of misunderstood encounters with these aquatic mammals. Christopher reported seeing mermaids while exploring the Caribbean, and sightings have been reported in the 20th and 21st centuries in Canada, Israel, and Zimbabwe. The US National Ocean Service stated in 2012 that no evidence of mermaids has ever been found.
 
A MERMAID is a
legendary aquatic creature with the upper body of a woman and the tail
of a fish. Mermaids appear in the folklore of many cultures worldwide,
including the Near East, Europe, and Asia. The first stories appeared in
ancient Assyria, in which the goddess Atargatis transforms herself into
a mermaid out of shame for accidentally killing her human lover.
Mermaids are sometimes depicted as perilous creatures associated with
floods, storms, shipwrecks, and drowning. In other folk traditions (or
sometimes within the same tradition) they can be benevolent, bestowing
boons or falling in love with humans.
Mermaids are associated with the sirens of Greek mythology and with the
Sirenia a biological order which comprises dugongs and manatees.
Historical sightings by sailors may have been the result of
misunderstood encounters with these aquatic mammals. Christopher
reported seeing mermaids while exploring the Caribbean, and sightings
have been reported in the 20th and 21st centuries in Canada, Israel, and
Zimbabwe. The US National Ocean Service stated in 2012 that no evidence
of mermaids has ever been found.

umeondoa ubishi, tho baharini ni sehemu ya mizengwe ya kila aina, mungu yu nasi daima.
 
Nguvu ni kiumbe wa jamii ya wanyama wanaonyonyesha na wenye vinyeleo (Mamalia) ambapo na sisi binadamu tupo. Hivyo si samaki kama walivyo Nyangumi na Dolphins (pomboo) ingawa wote wanaishi majini (baharini). Kwa bahari ya Hindi upande wa Tanzania wanapatikana sana maeneo ya Kilwa na Mafia. Uzazi wao ni kama binadamu wanazaa mtoto mmoja hadi wawili na pia hunyonyesha na kufanya parental care kama sisi. Lakini kimaumbile wapo kama kiboko hivi. Ukitaka kuwaona nenda makumbusho ya Taifa, TAFIRI Kunduchi au ofisi za Hifadhi za Bahari zilizopo Upanga. Nitaweke picha baadae
 
huyo aliyepo makumbusho ni halisi ama picha tu????? MziziMkavu busara zako zahitajika kuhusu huyu samaki kama kweli yupo ama la!!!!!

Sio picha ni yeye halisi amekaushwa na kuhifadhiwa, huyo mermaid ni hadithi za kusadikika
 
Last edited by a moderator:
anaitwa mermaid nafikiri...ni story tu..

Kama zile hadithi kama sikosei za ESSOPO ambaye alisafiri na kufika katika nchi ya vimtu vidogo kama sisismizi.
Lakini pia katika safari zake alifika katika nchi ambapo alikutana na mijitu mikubwa ambayo ilikuwa inamuona kama sisismizi yaani hata Panya wao walikuwa wakubwa kama simba............LOL

watu wasije sema nchi hizo zipo jamani, ni hadithi za kufikirika kama ilivyo hadithi ya Nguva....................
 
Back
Top Bottom