Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

Hayupo, sasa kama nguva wote ni wa kike wanazaanaje? Story tu hizo
Kuna samaki mkuu mwanaume ndie anabeba mimba au niseme kutunza mayai ,inawezekana na hayo ma nguva yanajizaa yenyewe ...jokes tu mzee kuchangamsha jamvi
 
kuna huyu samaki wa ajabu ambaye nasikia anapatikana baharini na mara nyingi anafananishwa na jinsia ya kike,inasemekana kuanzia kiunoni kuja juu ni mtu tena 'ke' na kuanzia kiunoni kwenda chini ni samaki,hivi ni kweli yupo samaki wa aina hiyo au ni simulizi tu?[/QUO

duuuuh unataka umgegede nini!!,,,,
natania tu me mwenyewe naskia tu nguva nguva hata sijawahi kumuona
 
Samahanini niulize kwenu wenye maziwa(lakes) kitu inaitwa chunusi ni kweli ipo? Niliwahi kuambiwa Ujiji(Kigoma) Au ni story tu pia! Kama ni kweli nilisikia anabeba watu je,wanapelekwa wapi?
 
Hayo ni majini ya kwenye maji na kweli yako mengi tu hadi mtoni
 
Bro Smokey,majini kweli yapo au ni historia tu! Maana hivi vitu nasikiaga tu kwenu huko lakini uharisia sijawahi kupata. Nilistuka sana naambiwa kwamba watu walipotea na walichukuliwa na chunusi,kuuliza walimuona wanasema yupo. Kama una uelewa na hayo mambo tafadhali nikupe contacts unijuze zaidi
 
Samahanini niulize kwenu wenye maziwa(lakes) kitu inaitwa chunusi ni kweli ipo? Niliwahi kuambiwa Ujiji(Kigoma) Au ni story tu pia! Kama ni kweli nilisikia anabeba watu je,wanapelekwa wapi?
hizo nazo zinaweza kuwa legends tu kuzuia watoto wasicheze mtoni au ziwani
 
Nguva - mermaids. Ni legend tu mkuu na uwepo wake kisayansi hakuna labda ule uwanja wa akina Mshana Jr na Mzizi Mkavu. Huko kila kitu kinawezekana!
 
Hayupo, sasa kama nguva wote ni wa kike wanazaanaje? Story tu hizo
lakini mkuu miaka ya nyuma kuna wavuvi waliwahi sikika tena ndani ya tz hiihii kuwa walimnasa nguva na picha iliwahi onyeshwa,but am still doubting
 
Kuna samaki mkuu mwanaume ndie anabeba mimba au niseme kutunza mayai ,inawezekana na hayo ma nguva yanajizaa yenyewe ...jokes tu mzee kuchangamsha jamvi
NGUVA.jpg

SAMAKI-NGUVA.jpg
 
Bro Smokey,majini kweli yapo au ni historia tu! Maana hivi vitu nasikiaga tu kwenu huko lakini uharisia sijawahi kupata. Nilistuka sana naambiwa kwamba watu walipotea na walichukuliwa na chunusi,kuuliza walimuona wanasema yupo. Kama una uelewa na hayo mambo tafadhali nikupe contacts unijuze zaidi
Nimeogelea mtoni sana tu tukitoka shule au muda mwingine tunatoroka..Sasa kuna siku nilishuudia chalii akivutwa chini ya maji akanywa vikombe vya kutosha bahati nzuri tulikuwa wengi tukamuokoa kudadisi anasema kuna kitu kilikuwa kimemshika kiuno na kingine miguu vina mvuta chini..After kama mizi saba hivi kuna kundi lilituwahi kwenda mtoni so tukawa tuko nyuma yao(watoro) wakawa wanaogelea sisi tukiendelea kuvua nguo..mara moja wao akawa anaita jina la mwingine"mbona fulani hayuko" huku Akiita jina..Kumtafuta hapo chalii kumbe yuko chini ya maji mda sana na kashakufa..
Huku mtaani juzi kati dogo kafa akiogolea ndio alikuwa mkubwa kwa wote..Mpaka wengine walienda kuomba msaada wa kumuokoa..Dogo akatolewa kakauka kama kapigwa shoti ya umeme..
-Machunuzi yako mengi tu mtoni ziwani etc
 
halo inatisha,tunaweza ogopa kwenda kuogelea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom