Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,268
- 10,356
Is this the home of great thinkers, or is the botomless Pit of rubbish Spiters?? Someni bandiko la mwanakijiji na kuingia kwenye mjadala kama mko fiti kwenye Historia na Filosofia.
Nyie mnaoshabikia Zanzibar kujitenga ina maana nyie (wanyakyusa,Waha, Wanyamwezi, wabarabaig, wanyia, na wengineo) mna mahusiano ya karibu na Wazaramo na wangindo na wandengereko kuliko makabila hayo yalivyo na ukaribu na wazanzibar?
Hivi kabila la Mzee Karume Mnalijua??!!
..hakuna haja ya kuwalazimisha wa-Zenj kuwa kwenye muungano.
..binafsi nilitegemea masuala yanayohusu hatima ya Muungano yajadiliwe bungeni Dodoma kwasababu ndiyo mahala pake.
..ikiwa wa-Zenj, hata kama wamepotoka, wameamua kufanya mijadala hii Zenj kwenye baraza la wawakilishi, basi wa-Tanganyika hatuna budi kuridhia maamuzi yao.
..badala ya kuanza kuwaita majina mabaya-mabaya, ingekuwa busara kama tutaangalia tutaishi vipi, na tutakuwa na mashirikiano na mahusiano ya namna gani, na majirani na ndugu zetu wa Zenj.
NB:
..haya maamuzi ya baraza la wawakilishi yangependeza kama yangekuwa yamepewa baraka za kura ya maoni ya wa-Zenj kuhusu Muungano.
Mwanakijiji said:Ibara ya 1 na 2 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kuwa Tanzania ni nchi MOJA ambayo eneo lake ni kama ilivyoanishwa. Zanzibar wanatangaza "nchi" nyingine ndani ya hii nchi moja. Hivi kweli unaamini tumebakia na nchi moja au nchi mbili?
As I said, Mahafidhina wako pande zote, Zanzibar na Tanganyika pia....
omarilyas
Mwanakijiji,
..kilichotokea ni kwamba tumeshindwa kuwa nchi moja.
..kwa hapa tulipofika tuangalie utaratibu wa kurudisha Tanganyika yetu, na jinsi gani tutashirikiana na majirani zetu wa Zenj.
Mkuu hakuna sababu ya kung'ang'ania jina kwani RDC walikuwa Congo, Ikaitwa Zaire na Mobutu kisha imefikia kuitwa Republic of Congo.hatujawahi kuwa na Tanganyika "yetu". Tanzania ndiyo yetu; Kwanini tunashabikia kurudia zao la mkoloni na kuona fahari?
Mwanakijiji said:hatujawahi kuwa na Tanganyika "yetu". Tanzania ndiyo yetu; Kwanini tunashabikia kurudia zao la mkoloni na kuona fahari?
11th August 2010
Lawyers: One clause against union constitution
Union leaders: Give us time to study document
The House of Representatives
Zanzibar`s 10th Constitutional amendment unanimously endorsed by the House of Representatives on Monday has sparked mixed reaction on the statehood of the Isles.
Proposals for the constitutional amendment were tabled by Zanzibar Minister of State in the Presidents Office (Constitutional Affairs and Good Governance), Ramadhan Abdallah Shaaban, also endorsed the formation of national unity government after the October General Election.
According to the minister, Section 1 of the Isles Constitution will be rephrased to read Zanzibar is a state whose territory will be the whole areas of Unguja and Pemba and other surrounding islands and territorial waters, which before the Union of Tanganyika and Zanzibar, were recognised as Peoples Republic of Zanzibar.
Constitutional lawyers said such amendment needed approval by two thirds of the Union Parliament and two thirds from the House of Representatives.
Dr Sengondo Mvungi, a constitutional lawyer and lecturer at the University of Dar es Salaam (UDSM) said endorsing the amendments means having two sovereign states within the Union structure.
Thats why I am saying by that Act, Zanzibar House of Representatives have automatically dissolved the Union between the two sides lets speak the truth, said Mvungi.
The Union constitution, Section 1 states that Tanzania is one state, and is a sovereign United Republic including Zanzibar. Section 2 (i) of the Union constitution states that the territory of the United Republic of Tanzania includes the whole areas on Tanzania Mainland and Tanzania Zanzibar, including territorial waters, he said.
Union government leaders would not comment on the amendment, stressing that they will only do so after they have read the full document approved by the House in Zanzibar.
In a telephone interview, the Attorney General, Frederick Werema would only say: Give me time to study the proposed amendments before giving my comment. This is a sensitive issue, which I cannot comment on before studying the document.
The Minister of Constitutional Affairs and Justice, Mathias Chikawe, also declined to comment saying: Let me go through the proposed amendments before giving my comments. The issue touches on the Union between the two sides.
The Minister of State in the Vice-Presidents Office (Union Matters), Mohamed Seif Khatib when reached for comment on the fate of the Union in the wake of the amendment said: I have just read about the constitutional amendments in newspapers. Remember thats a constitutional issue I cannot comment from the air I need enough time to read amendments before making my comments.
The 75 Members of the House of Representatives on Monday unanimously endorsed the Islands 10th constitutional amendments paving the way for a formation of the government of national unity after the October general election.
The House also introduced new clauses in the Isles constitution which seek to recognise Zanzibar as sovereign state.
Moving the constitutional amendment bill motion, Zanzibar Minister of State (Constitutional and good Governance), Ramadhani Abdallah Shaabani, said the new clause in the amendment defined Zanzibar one of two countries that form the United Republic of Tanzania. According to the minister, Sections 1 and 2 of the Zanzibar constitution identifying Zanzibar as part of the United Republic of Tanzania will be deleted from the constitution.
Harold Sungusia, a human rights lawyer told The Guardian yesterday the decision by the Zanzibar House of Representatives to amend the Isles constitution so that Zanzibar could be recognised as a state within the Union may create constitutional conflicts between the Union and Zanzibar governments.
Personally, I am worried that such a decision may create contradiction in the running of the Union and Zanzibar governments. Amendments need to be made to the Union constitution to accommodate such changes (Isles constitutional amendments), said Sungusia.
He however, declined more details saying It is not possible to talk about such a sensitive issue without studying the proposed amendments to the Isles constitution. Currently, he said, the Legal and Human Rights Centre (LHRC) is studying the document of the proposed constitutional amendments with a view of coming up with a comprehensive statement on the issue.
There has been heated debate between 2008 and early last year among Union and Zanzibar leaders and politicians over whether Zanzibar was a state or not.
The majority of Zanzibaris led by members of the House of Representatives were irritated by the statement that Zanzibar was not a state but only part of the United Republic of Tanzania.
SOURCE: THE GUARDIAN
Ibara ya 1 na 2 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kuwa Tanzania ni nchi MOJA ambayo eneo lake ni kama ilivyoanishwa. Zanzibar wanatangaza "nchi" nyingine ndani ya hii nchi moja. Hivi kweli unaamini tumebakia na nchi moja au nchi mbili?
GenerationY,
Mkuu umezidi kuuliza kama Zanzibar ni nchi au sio nchi, Kifupi sielewi unachotaka kuelewa kwani Hata kwetu huko Ukerewe ni nchi na ina mipaka yake kama visiwa.
Nitakueleza makosa yanayofanyika hapa. Hakuna kitu kibaya zaidi ya hilo baraza lenu kutumia Uhuru wa mwaka 1963 kama ndio Kuzaliwa kwa nchi ya Zanzibar. Kumbuka tu Uhuru ule wa Zanzibar ni sawa na ule wa kina Ian Smith makaburu kule Rhodesia kabla ya Mapinduzi ya kina Mugabe kuichukua nchi na kuiita Zimbabwe. Na hata South enzi za kina Botha, yaani kila nchi ina historia yake kama kuundwa kwa Tanzania ni historia ambayo huwezi kuiondoa kwa jinsi unavyofikiria wewe.
Kwa hiyo swala la nchi linaanza siku ya Mapinduzi ya nchi hiyo na sio mwaka Sultan alipochukua utawala wake toka kwa Muingereza. M<uingereza alikuwa amemshikia tu Sultan, kilichofanyika ni kutubambika Uhuru wa makaratasi hali Sultan akiendelea kutawala. Zipo nchi kibao zilizopata Uhuru na hata kuingia UN lakini Uhuru ule ulikuja athirika na mabadiliko ya Mapinduzi au Muungano.
Tatizo kubwa la hoja hii ya Muungano inaletwa na watu ambao walikuwa Wapinzani wa Mapinduzi yenyewe - This is a fact!. Hao kina Seif ni makoko ya Hizbu, Mapinduzi hawawezi kuyatambuia isipokuwa uhuru ule wa Sultan na chama chao cha ZNP. Hii ndio hatari ya kuwa na vyama vingi vyenye kukumbuatia uasilia wake.
Nitarudia kusema Zanzibar ni nchi ambayo imetokana na Mapinduzi ya mwaka 1964 na sio Uhuru wa Mwaka 1963. Kinyume cha hapo Zanzibar ilikuwa nchi hata kabla ya Sultan hajatia nanga Unguja na Bara.. Zanzibar ilikuwa nchi kabla ya mgeni yeyote hajaweka mipaka yake kwani ilikuwa na uhusiano mkubwa na Bara toka karne ya kwanza. Na historia inajionyesha wazi kwani haikuandikwa na wageni waliokuja kuhamia..
Hebu twende hatua kwa hatua. Tukikubali katiba ya Zanzibar inayosema 'Zanzibar ni nchi moja miongoni mwa nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania', hebu tujiulize hiyo nchi ya pili katika muungano huo iko wapi na katiba yake ni ipi?
Inaelekea watu walilikoroga tangu zamani wakalifunika, sasa ni zamu ya kulinywa au kulimwaga![/QUOTE]
You have said it all!
Mzee Mwanakijiji;101999. Kama kuna watu Zanzibar wanataka kuwa nchi "nje" ya Muungano said:But as long as we are a United Republic jaribio lolote la kuivunja ni uhaini - as simple as that.[/COLOR]
Kama Zanzibar haitaki kuwa ndani ya Muungano kwenye baraza la wawakilishi waseme hivyo mapema, wajitangaze kuwa wanataka kutoka nje ya Muungano na nina UHAKIKA Kikwete na uongozi wa CCM hakuna atakayeweza kujenga hoja za kuzuia kwani mashujaa hao hawapo tena. Basi watoke na kama nilivyosema tuanze uhusiano wa nchi mbili, binafsi wala sina tatizo kabisa. Lakini kama wanataka tuwe wamoja kama nchi ni lazima mpango wao wa kuitangaza Zanzibar kuwa ni nchi sijui madudu gani ukemewe mara moja na KILA MTANZANIA.
Si kwa sababu hatuwezi kuishi bila Zanzibar au wao bila sisi, bali kwa sababu MUUNGANO UPO na ni lazime utetewe kwa gharama yoyote. Kwanini Zanzibar wasipige kura ya maoni kutaka kujua kama wanataka kubakia ndani ya Muungano?
PIGENI HII KURA TUMALIZE MZIZI WA FITINA!!!