Pole sana mwakichi kama hukulijua mapema hilo!Sitta ni kati ya mazee mufilisi wa taifa hili!ni FISADI kubwa,ni CHONGANISHI,ni LIYUMBISHA serikali ya MAGAMBA,linazuga tu kuwepo CCM sababu roho ipo CCJ!Huyu mtu anaeitwa samwel sitta ni mmoja kati ya watu mafisadi nchini ingawa yeye anataka kujionyesha ni mtu mwema..anaitwa spika mstaafu lakini ukweli siyo spika mataafu kwani aligombea uspika na akashindwa,pamoja na kupewa mafuta ya gari(petrol) lita 1000 kwa mwezi pamoja na dereva,mlinzi bado kagoma kutoka katika nyumba aliyotakiwa kukaa spika anna makinda,analipiwa kodi ya dola 8000 za kimarekan kwa mwaka na wakati huo huo serikali imempa anna makinda pesa kwa ajili ya kukarabati nyumba yake iendane na hadhi ya uspika,anasafiri kwa anasa kama spika na yeye wala hazungumzi hili wala kuonea uchungu pesa za watanzania..nachojiuliza yeye analipwa hataki kutoka katika nyumba ya spika kwa nin?serikali inaingia hasara ya million 12 kwa kodi yake kama nan?lita 1000 za ubunge/uwaziri anapewa tena lita 70 za uspika za nini?huyu ni mtu hatari sana katika tanzania yetu na hatuwezi kufika katika nchi ya ahadi na mtu kama huyu..nawakilisha hoja
Jibu ni ndiyo: nyumba anaiyoishi kwa mwezi rent yake ni 12m
mwaga tunaisubiri kamandaHuyu ni fisadi na hakuna haja ya kumtetea. Ni kati ya watu wanafiki kuliko wote nilio wahi kukutana nao. Nina story yake ya ukweli nitawapa baadae kama nikipata muda! ni fisadi mkubwa sana
Hebu nikumbushe tena Lowassa hua mnamuita nani vile.............. Aliejiuzuru au aliestaafu? jibu kwanza then naweza changia thread yakoHuyu mtu anaeitwa samwel sitta ni mmoja kati ya watu mafisadi nchini ingawa yeye anataka kujionyesha ni mtu mwema..anaitwa spika mstaafu lakini ukweli siyo spika mataafu kwani aligombea uspika na akashindwa,pamoja na kupewa mafuta ya gari(petrol) lita 1000 kwa mwezi pamoja na dereva,mlinzi bado kagoma kutoka katika nyumba aliyotakiwa kukaa spika anna makinda,analipiwa kodi ya dola 8000 za kimarekan kwa mwaka na wakati huo huo serikali imempa anna makinda pesa kwa ajili ya kukarabati nyumba yake iendane na hadhi ya uspika,anasafiri kwa anasa kama spika na yeye wala hazungumzi hili wala kuonea uchungu pesa za watanzania..nachojiuliza yeye analipwa hataki kutoka katika nyumba ya spika kwa nin?serikali inaingia hasara ya million 12 kwa kodi yake kama nan?lita 1000 za ubunge/uwaziri anapewa tena lita 70 za uspika za nini?huyu ni mtu hatari sana katika tanzania yetu na hatuwezi kufika katika nchi ya ahadi na mtu kama huyu..nawakilisha hoja
Mtoa hoja unahoja nzuri ila kwa vile umekurupuka mpaka inaelekea kufoka povu, inanifanya nione uko personal zaidi kuliko kulinda maslahi ya taifa...
Cha msingi kujiuliza ni je Sitta ni spika pekee mstaafu anayelipiwa nyumba na marupurupu mengine? Je umefuatilia Pius Msekwa kama analipiwa nyumba na stahili nyingine ulizotaja? Pamoja na kwamba bado ni active kwenye chama chake kwa nafasi ya makamu mwenyekiti (ambayo nayo ina msururu wa marupurupu) na pesa ya chama kwa kiasi kikubwa ni kodi zetu wanazolipwa kama ruzuku? kwa hiyo kimsingi ni pesa za umma!
Kama ni suala la sheria, basi bunge hasa hili la vyama vingi lipeleke hoja binafsi ya kutaka yafanyike mabadiliko ya sheria tajwa na kustate kwamba,
stahili za kustaafu zitaanza kulipwa pale mtu atapokua ameachana na siasa na uongozi wa nchi au chama.
Bila hivyo tunarudi kulekule kwa kutazama sheria based on nani anatukera ili tummalize kisiasa. Nina hakika Sheria mbaya ndio mzizi wa matatizo!
Si umesikia ya Nahodha kutaka kulipwa stahili zake kama waziri kiongozi mstaafu, ilihali ni waziri wa mambo ya ndani??.... TAFAKARI!