Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
James Mbatia ni Kihiyo, kama alimaliza shule labda "Chuo cha Utamaduni"
Kama shule ilimshinda ndio ataweza siasa? siajabu atashindwa hata kumalizia huo uenyekiti ahamie kwa rostam kutafuta pesa
Kigogo trust me, kutomaliza shule ni dalili tu ya kukosa reliability kwa chochote
Hivi hata ukijadili mada yenyewe unadhani huwezi kumjadili mtoa mada?Ndo maana wakti mwingene huwa napenda kuwaa mtazamaji.
Watu humu JF hawajdili maada wanajadili muhusika na jinsi gani anawakera.
Wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Jamaa ana hoja lakini watu wamemgeukia yeye badala ya alichoongea.
inakuhusu nini sasa?kama alimaliza au hakumaliza shule inahusikaje hapa?off point
Ninapenda sana tactics za rostam... amegundua wapinzani wana njaa sana na hiki ni kipindi cha mavuno na anawatumia vizuri sana siku hizi bado yeye kupenyeza rupia CHADEMA sasa, and i am hopeful hiyo haitatokea
Siku za karibuni limeibuka kundi la watu ambao wako tayari kufa au kufanya lolote lile kumtetea Sita, wamevuka mipaka kiasi cha kutojadili maada au hoja bali kumtetea tu! ninachofahamu ni kuwa
Sita+Mwakyembe+Lowasa+Rostam+Kikwete+Warioba+Kilango+Makamba+Ngeleja+Masha+sofia Simba+Mkapa=CCM.
watu mtakaojitokeza kumtetea yoyote katika hao na kuponda wengine nadhani ni kutokutumia akili ya kawaida kabisa ya kuzaliwa!
However, inapendeza zaidi kuwatetea baadhi ya watu mliowapa majina ya wapiganaji kama wewe ni mwana CCM, yaani mmoja wao, ila inahuzunisha beyond words ukimkuta mtu mwenye akili timamu anatoka povu kumtetea Sita ana kina mwakyembe ambao ni wasaliti na wezi kabisa wa tafa hili ,jana leo, na hata kesho, never even mention akina EL na AR,
CCM lao moja! kipindi hiki cha uchaguzi ndio mtawaona kwa matendo yao! waoi Kilango? wapi Mwakyembe? kelele ziko wapi? wanaofadhili hizo chaguzi zenu ni akina nani?
Ninapenda sana tactics za rostam... amegundua wapinzani wana njaa sana na hiki ni kipindi cha mavuno na anawatumia vizuri sana siku hizi
bado yeye kupenyeza rupia CHADEMA sasa, and i am hopeful hiyo haitatokea
woooote mafisadi......hawana lolote......ni maslahi tu.....hakuna kati yao wote pamoja na spika ni mafisadi tu..wachumia tumbo...wa bongo hakuna mtetezi katika hawa....sita ni katika ma spika bomu africa.......ukimwona mtu anajisifu sana ujue kuna tatizo........mimi naona spika anaefaa baada ya uchaguzi..ni pfofessor issa shivji...ni mzalendo na msomi wa hali ya juu katika sheria ..ametumikia nchi hiii sanaa
Rostam anaingia vipi hapa? Usitake kuficha ufisadi wa Sitta kwa kuleta hisia zako kwa Rostam. Sitta ni chui aliyevaa ngozi ya kondoo.Sitta hana usafi wa kumnyooshea mtu kidole.
- Ukiamua kumshambulia kiongozi kama Spika wa sasa, ni lazima uwe na facts kuliko hizi circumstantial evidence, sema aliiba hela flani sio alitumia kununua flani it does not make a sense, alitumia hela kukodi nyumba huo ni uamuzi wa Serikali sio wa Sitta, najua kuwa viongozi wetu wengi wa sasa sio malaika, lakini ninam-support Sitta kwamba ni afadhali kuliko mafisadi,
- Na Mungu amsaidie sana aendelee na moyo huo huo alionao mgumu sana wa kusimama bila kuogopa mafisadi, kama sio yeye Lowassa angekwua bado anachota hela zetu as he wished, no wonder makelele against Sitta ni mengi mno, kuna waliopoteza mlo kutokana na msimamo wa Sitta.
Respect.
FMEs!

-Huwezi kuwa msafi unakaa nyumba ya millioni 10 kwa mwezi.
-Huwezi kuwa na morality yoyote kama una tuhuma ya kuwa na vimada indirectly
privilege ya ofisi ya bunge
-Tumedanganyika muda mrefu,namshukuru Mungu kwa kunipanua mawazo na kujua what is going on our country.