Mwanakijiji,
Hivi fedha una-idefine vipi ?
Mr. Kabwe,Hili ndio tatizo letu kubwa sana. Tunahukumu haraka sana! Haki (justice) inataka tuhukumu baada ya kuwa na taarifa zote muhimu. JF haipaswi kuonea wala kupendelea, bali kusimamia ukweli na ukweli mtupu!
Hata hivyo hukumu hizi zinatokana na hasira ambazo watu wanazo kuhusu hali ya nchi yetu na ufisadi uliokithiri. Ni mchakato muhimu kupitia (yaani kuwa na hasira). Ninaamini baadae tutakuwa tunahukumu kwa haki.
Mr. Kabwe,
We think differently, mie siwezi kabisa kuelewa, umasikini uliokithiri katika nchi kama hii, the poorest of the poor; to rent a house for a speaker at USD 8000 and buy him furniture at USD 200,000; one fourth of a million dollar. Zitto how much Tanzania is making? Dr Slaa campaineg at the parliament not to raise wages for parliamentarians, that was positive; nchi hii ni masikini mno hata budget yako iko subsidized by donors.
Jamani, by sitting on the best furniture in the world, and having a very expensive house in the world he can think and decide properly?
Ati wakati wa kumbeza Dr. Slaa kule parliament wabunge wengi wali-compare marupurupu ya nchi zingine, wengine walisema ati marupu rupu yetu ni chini hata uki-compare Uingereza. These guys have a different thinking; they compare themselves to the first world; we are in Tanzania the third poorest country in the world.
Mr. Kabwe, the first lesson in my business was to value the money I make. If the very people who lead us do not know the value of money then it is really terrible. We are wasting too much, we have many things to do!
Mr. Kabwe,
We think differently, mie siwezi kabisa kuelewa, umasikini uliokithiri katika nchi kama hii, the poorest of the poor;
to rent a house for a speaker at USD 8000 and buy him furniture at USD 200,000; one fourth of a million dollar.
nchi hii ni masikini mno hata budget yako iko subsidized by donors.
we are in Tanzania the third poorest country in the world.
We are wasting too much, we have many things to do!
Kwani wabunge wanapata ngapi kwa mwezi?
Mwanakijiji,That is where people are wrong; are we "that" poor or we believe that we are that "poor" regardless of the evidence to the contrary?
Can you give me a range of the highest house rent in Dar you know of and the median price for buying a house in a decent area with most of modern amenities?
Do you really think our budget is subsidized by donors because we are "maskini mno"?
Jamani, by sitting on the best furniture in the world, and having a very expensive house in the world he can think and decide properly?
this is a little bit irritating.. tumeimbiwa huu wimbo wa "sisi ni maskini", "nchi yetu ni maskini" na tumeanza kuamini kabisa. IO.. Are we really that poor?
If we are wasting too much;.. are that poor?
Mwanakijiji,
Hivi wewe hujui kuwa tuko poor? Hivi mtu kama hawezi kula na hana mali pa kulala, no medicare, no social security after retirement hiyo siyo suicide? C'mmon unataka nikukumbushe?
Regarding properties in Darisalamu: One thing I will tell you this country has got no regulatory body; hebu niambie, hizi properties kama kweli ziko valued kwa bei inayotakiwa. Infact Darisalamiu au let say Tanzania tunaishi kwa bora kumekucha, we have no system. Don't ask me to give you examples, you're travelled; so please everybody in this country is trying to take his or her ride. to rip.
Believe me we are poor, and we have failed to convert our "existing wealth" into really wealth. Tuna madini,mito, vyote hivyo ni utajiri lakini how have they benefited us? We are still big beggers, and that we get from those givers is taken to pay people like Mr. Sita.
Mwanakijiji,
Hivi wewe hujui kuwa tuko poor? Hivi mtu kama hawezi kula na hana mali pa kulala, no medicare, no social security after retirement hiyo siyo suicide? C'mmon unataka nikukumbushe?
Regarding properties in Darisalamu: One thing I will tell you this country has got no regulatory body;
hebu niambie, hizi properties kama kweli ziko valued kwa bei inayotakiwa. Infact Darisalamiu au let say Tanzania tunaishi kwa bora kumekucha, we have no system.
Don't ask me to give you examples, you're travelled; so please everybody in this country is trying to take his or her ride. to rip.
Believe me we are poor, and we have failed to convert our "existing wealth" into really wealth.
Tuna madini,mito, vyote hivyo ni utajiri lakini how have they benefited us?
We are still big beggers, and that we get from those givers is taken to pay people like Mr. Sita.
Kwamba we are poor I can say no! We do have enough resources to satisfy our basics needs and have proper social facilities in our country, only and big problem we have is unequal distribution of our limited resources!
If we can pay USD8,000 for house rent are we really poor!? We are spending so much money on unnecessary things!!
Tatizo la hii forum watu wameshakariri ya kuwa Ufisadi ni pale tuu unapofanywa na Rostam et al.
Implies=> Tumseme Raisi tusimseme Kikwete, Tusimseme Lipumba tuseme CUF, Tusimseme Sitta tuseme Bunge (au Spika wa bunge). Mmmm; ati hapo sijui kuna mantiki ipi unataka kutwambia? The president is Mr. Kikwete, what is a difference between critisizing Kikwete and his Presidency? Bunge la Sita na Sita; wapi na wapi?
Kwamba we are poor I can say no! We do have enough resources to satisfy our basics needs and have proper social facilities in our country, only and big problem we have is unequal distribution of our limited resources!
If we can pay USD8,000 for house rent are we really poor!? We are spending so much money on unnecessary things!!
a. Mshahara wa Spika uwe kiasi gani kwa mwezi?
kwa kuwa anapanda gari moja "at a time" then apewe moja,na lisizidi CC 2000/2.0Lb. Apewe gari/magari mangapi na ya aina gani?
kwa kuwa ni mtumishi wa umma wa siku nyingi si vibaya akiishi nyumbani kwake,kama anayo nyumba.kama hana national House can come into action.200Sqm,wafanyakazi wa ndani,naamini $50,000 inatosha.c. Nyumba yake kama Spika iwe na thamani ya kiasi gani na iwe na ukubwa gani? na amenities gani?
hatakiwi kuishi nyumba ya kukodi,he is not in vegas or something.mwanzo wa mianya ya rushwa hii.d. Kama ni ya kukodi, iwe kati ya kiasi gani na maeneo gani?
polisi/wanajeshi wa 3 wa kumlinda(payrol yakutoka serikalini sio private).e. Je apewe ulinzi wa nyumba na binafsi na wa idadi gani ya walinzi?
iwe kama ya wafanyakazi wengine tu wenye salary scale yake.no trip za ulaya.akienda muhimbili akiambiwa hamna X-ray.kesho akienda bungeni atasisitiza ziwekwe!f. Je awe na bima ya afya inayogharimiwa na serikali au la na yenye kiasi gani?
safari nyingi za nje za hawa watu zinalipiwa na nchi wanazoalikwa.wasitupige chenga hapa!it should be the lowest hadi ajute kuwa kiongozi,apate uchungu.tuendelee.GDP ikipanda na sie wananchi tunampandishia.g. Je akisafiri kwenda nje kikazi safari zake zisidi kiasi gani? Je aende na msaidizi yeyote?
La kuzingatia katika majibu yenu, naomba mhakikishe kuwa kitu chochote mnachompatia hakizidi hali ya maisha ya Mtanzania wa kawaida
I am a little bit confused. . .