ndiyo hivyo.. mtu atusaidie tu.. kwa sababu hofu yangu ni kuwa hili la Spika lina zaidi ya suala la matumizi. Kuna zaidi ya malipo ya dola 10,000 kwa mwezi au magari. I really want to know what is this about.. maana haya mapambano ya fronts nyingi kweli.
Matumizi machafu ya serikali kumgharimia Spika? Ni kiasi gani cha matumizi ya serikali kwa spika tunaweza kuyakubali kuwa ni masafi?
Tusema kuwa angekuwa anapanga nyumba kwa dola 5000 kwa mwezi na kuendesha corolla au nissan altima tutasema ni masafi? Vipi kama tungeamua kumjengea nyumba sehemu fulani katikati mjini kwenye mitaa yetu walalahoi, itamleta karibu zaidi na wananchi siyo?
Matumizi mabaya yapo lakini hadi hivi sasa sijaona hayo ya Spika kuingizwa katika ubaya huo. Matumizi mabaya ni yale ambayo hayajulikani kiasi chake, yanakwenda wapi, na yanatumiwa na nani. Matumizi mabaya ni ya mtu anayetumia fedha ya serikali kwa uamuzi wake mwenyewe kujinufaisha. Hadi hivi sasa sijaona mahali ambapo panasema Spika ndiye amejitengea fedha hiyo na kujilipa yeye mwenyewe.
Kama kweli tunataka kupunguza matumizi na kuleta nidhamu kwanini tusililie kile tunacholilia sisi wengine nacho ni kusitisha misaada ya kigeni ili hawa viongozi wajifunze kutumia kidogo tulichonavyo kwa umakini?
Hivi unafikiri tatizo la Tanzania ni fedha? Yaani, unaamini kuwa umaskini wetu sisi unasababishwa na ukosefu wafedha. Mnachozungumzia kwenye Spika ni dalili tu ya tatizo lenyewe.
Kuweka taarifa sawasawa, Sitta hakuwa Mbunge kati ya 1995 - 2005. Hivyo, wakati nyumba zinauzwa hakuwa Mbunge.
Pili, kuuzwa kwa nyumba hakukuidhinishwa na Bunge na ndio maana kuna azimio la Bunge la kutaka nyumba zirudishwe.
Sheria ya manunuzi ndio hutumika katika kupata huduma kama hizo ambapo spika hahusiki katika zabuni. Kumlaumu Sitta katika hili sio sahihi. Suala la msingi ni kuangalia kama kuna 'value for money' katika huduma hiyo na nyumba ni ya nani? Ilipatikanaje? Sheria ya manunuzi ilifuatwa? Nyumba za jirani na nyumba hiyo 'rent' yake ni hiyo hiyo? Ninadhani hayo ndio masuala ya msingi ya kujiuliza badala ya kupeleka akili zetu zote kwa 'individual' anaeitwa Samwel Sitta.
sawa.. given
Unajua GDP ya Tanzania
Unajua hali mbaya ya maisha ya Watanzania
Unajua matatizo yetu ya kiuchumi n.k
Sasa tuseme unatoa pendekezo la kuonesha kuwa Spika hawi extravagant. Ni kipi kiwe anastahili kama spika na ni kipi kiwe ni pecks ambazo si za lazima, assuming kuwa hawajafanya lolote kuinua GDP?
a. Mshahara wa Spika uwe kiasi gani kwa mwezi?
$ 120. Hapa tunataka watu wenye nia ya service, na si kujitajirisha
b. Apewe gari/magari mangapi na ya aina gani?
Land rover 110 moja
c. Nyumba yake kama Spika iwe na thamani ya kiasi gani na iwe na ukubwa gani? na amenities gani?
$ 100,000 ya serikali, samani za JKT/ Magereza (bure) gardener wa kutoka magereza (bure)
d. Kama ni ya kukodi, iwe kati ya kiasi gani na maeneo gani?
Kikodi ni concept za kimagharibi ambazo kwetu ni gharama zaidi ya kumiliki
e. Je apewe ulinzi wa nyumba na binafsi na wa idadi gani ya walinzi?
Walinzi wawili wa Polisi (nyumbani) na mmoja usalama wa taifa (personal)na gardener mfungwa wa kosa lisilo violent crime anayemalizia muda wake.
f. Je awe na bima ya afya inayogharimiwa na serikali au la na yenye kiasi gani?
serikali impe posho ya afya $ 30 kwa mwezi itakayopanda kulingana na kupanda kwa GDP
g. Je akisafiri kwenda nje kikazi safari zake zisidi kiasi gani? Je aende na msaidizi yeyote?
Safari zisizidi $ 10,000, msaidizi mmoja na usalama wa taifa wake, ikibidi usalama wa taifa anakuwa msaidizi wake vile vile kubana matumizi.
La kuzingatia katika majibu yenu, naomba mhakikishe kuwa kitu chochote mnachompatia hakizidi hali ya maisha ya Mtanzania wa kawaida.
Tunachozungumzia kwenye Spika ni bunge lililooza chini ya usimamizi wake duni. Bunge ambalo linalotetea maslahi ya wachache. Bunge ambalo linasema wabunge wasilipe kodi , despite the fact that they are being paid a lot of money.
Breakdown yangu iliyo realistic na maisha ya mtanzania hiyo hapo.Itatupa mtu mwenye nia ya service, wenye uchu wa pesa hata hawatagombania hiyo nafasi.
Hapa tunazungushana maneno tu. Tunajaribu kufanya ionekane kuwa hili la Spika ndilo limesababisha hali mbaya ya maisha ya wananchi wetu.
Tunataka (kwa makosa) kubebesha mzigo wa lawama wa matatizo ya wananchi wetu kwenye mgongo wa nyumba ya Spika wa Jamhuri ya Muungano. Kwamba madawati hayatoshi sababu ni nyumba ya spika, n.k
Sasa mimi naomba wale ambao wanaona kuwa this is extravagant watupe angalau mchanganuo wao wa kile anachostahili Spika. Lets assume siyo mtu anaitwa Samuel Sitta.
a. Mshahara wa Spika uwe kiasi gani kwa mwezi?
b. Apewe gari/magari mangapi na ya aina gani?
c. Nyumba yake kama Spika iwe na thamani ya kiasi gani na iwe na ukubwa gani? na amenities gani?
d. Kama ni ya kukodi, iwe kati ya kiasi gani na maeneo gani?
e. Je apewe ulinzi wa nyumba na binafsi na wa idadi gani ya walinzi?
f. Je awe na bima ya afya inayogharimiwa na serikali au la na yenye kiasi gani?
g. Je akisafiri kwenda nje kikazi safari zake zisidi kiasi gani? Je aende na msaidizi yeyote?
La kuzingatia katika majibu yenu, naomba mhakikishe kuwa kitu chochote mnachompatia hakizidi hali ya maisha ya Mtanzania wa kawaida.
Zitto.. hivi Gen. Mboma amewahi kushika wadhifa wa Meremeta baada ya kutoka JWTZ?
Hapa tunazungushana maneno tu. Tunajaribu kufanya ionekane kuwa hili la Spika ndilo limesababisha hali mbaya ya maisha ya wananchi wetu. Tunataka (kwa makosa) kubebesha mzigo wa lawama wa matatizo ya wananchi wetu kwenye mgongo wa nyumba ya Spika wa Jamhuri ya Muungano. Kwamba madawati hayatoshi sababu ni nyumba ya spika, n.k
Sasa mimi naomba wale ambao wanaona kuwa this is extravagant watupe angalau mchanganuo wao wa kile anachostahili Spika. Lets assume siyo mtu anaitwa Samuel Sitta.
a. Mshahara wa Spika uwe kiasi gani kwa mwezi?
b. Apewe gari/magari mangapi na ya aina gani?
c. Nyumba yake kama Spika iwe na thamani ya kiasi gani na iwe na ukubwa gani? na amenities gani?
d. Kama ni ya kukodi, iwe kati ya kiasi gani na maeneo gani?
e. Je apewe ulinzi wa nyumba na binafsi na wa idadi gani ya walinzi?
f. Je awe na bima ya afya inayogharimiwa na serikali au la na yenye kiasi gani?
g. Je akisafiri kwenda nje kikazi safari zake zisidi kiasi gani? Je aende na msaidizi yeyote?
La kuzingatia katika majibu yenu, naomba mhakikishe kuwa kitu chochote mnachompatia hakizidi hali ya maisha ya Mtanzania wa kawaida.
Baada ya kupata uspika, alipangiwa nyumba ya kukaa katika quota za manaibu mawaziri pale Kijitonyama. Wabunge (Kamati ya Uongozi) ikakataa na kuona ni udhalilishaji wa Bunge. Ikaamuliwa apangiwe nyumba.
Sheria ya manunuzi ndio hutumika katika kupata huduma kama hizo ambapo spika hahusiki katika zabuni. Kumlaumu Sitta katika hili sio sahihi. Suala la msingi ni kuangalia kama kuna 'value for money' katika huduma hiyo na nyumba ni ya nani? Ilipatikanaje? Sheria ya manunuzi ilifuatwa? Nyumba za jirani na nyumba hiyo 'rent' yake ni hiyo hiyo? Ninadhani hayo ndio masuala ya msingi ya kujiuliza badala ya kupeleka akili zetu zote kwa 'individual' anaeitwa Samwel Sitta.
Hoja yako inakosa nguvu kwa kujikita zaidi kwa mtu moja - hata hivyo kwa nini tuna wawakilishi bungeni na kwa nini tuna serikali. Halafu tunaambiwa Raisi ndiye aliridhia hayo malipo, je ina maana angeweza kukataa ? Mwanakijiji kuna kamtindo hapa ka kutetea majina fulani fulani eti wanapiga vita ufisadi huku vitendo vyao na maisha yao wamepiga kambi kwenye bonde la ufisadi. Kama Spika Sitta hayuko kwenye kundi la mafisadi basi kumbe twajidanganya - hakuna fisadi Bongo.
Invisible na mwanakijiji,hapa ninazo picha za nyumba ya spika aliohamia,tangu jana nashindwa kiziweka humu.nani nimtumie kwa email now aweke.nangojea jibu lenu
Spika ana tofauti gani na naibu waziri. Na bunge litadhalilishwa vipi kwa yeye kuishi kwenye hizo nyumba. Mimi naona tatizo ni low self esteem !
Tunamlaumu Spika kwa sababu when it comes to our parliament issues, THE BUCK STOPS WITH HIM.