ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Ukisikia kujipa matumaini hewa ndo haya Sasa
Timu limepigwa goli 2 bila kelele
Ball possession RS Berkane iliongoza 78%
Simba walicheza kama wapo pungufu
Berkane wanakuja ku press kama hawajashinda wala mbumbumbu msitegemee ati watakaza nyuma walinde
Dhahama itatokea ikiwa Simba atajifanya kupishana nao kutafuta goli huku wakiacha pengo Kwa Tshabalala na Kapombe😂🤣
Ili kukwepa kudhalilika Simba tubaki nyuma tujilinde ila tukifunguka ni kupigwa zingine 3
Simba walienda kudhalilisha Taifa, mambo Gani kutolewa Kwa aggregate ya 5_0
Haya mambo ya final za CAF anayaweza Yanga anayetolewa Kwa kanuni