MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,495
- 8,729
Hii inapaswa kuwa ni moja ya record za kukumbukwa sana, ni kwa mara ya kwanza mvua zinanyesha tena za mafuriko na kuna mgao wa umeme wa kutisha kabisa. na kadri mvua zinavyo ongezekana ndio mgao nao unapamba moto.
Hili ni jambo la kushangaza sana, kuna kuwaga na migao ya umeme hata nchi zingine kama Zambia na hata Kenya ila sio kipindi cha mafuriko kama haya yetu.Ni ajabu mno kwamba kuna migao mikari ya umeme katikati ya mvua za Elinino.
Na kama ilivyo jadi yetu ni tumeridhika kabisa ,sisi wadangayika kana kwamba hakuna chochote kinacho enedelea.Hii ni hatari sana.
Mgao sasa unahitimisha mwaka, ni kwa mara ya kwanza pia tuna mgao wa mwaka mzima, january hadi January tuna mgao wa umeme.