Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

Kuna mdau kakushauri kiutu uzima hapo juu kwamba uwe na machaguo mawili.

Amua kuishi nae au kuachana nae, ila kama utaamua kuishi nae, basi mpuuze kwa huo ujinga wake... Wewe dili na mambo machache ya msingi tu
 
Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha

Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe .

Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa nilipo nafikiria ni staili gani niitumie kuishi nae na pia wanawake wa aina hii dawa yao huwa ni nini ifike hatua kiburi kipungue na kisirani ifike hatua ajue wewe kidume hata anapoenda wrong directions iwe rahisi kurekebishika na kuelezekeka.

Imagine kama leo hii nilimtext asubuhi hakunijibu badae alivyonitafuta mida ya jioni saa 12 nakuja kumuuliza uliona ujumbe wangu asubuhi hanipi majibu ya kueleweka

Nilivyomuuliza mara ya pili akaanza kunijibu kwa hasira na kisirani vitu havieleweki mwisho wa siku ananiona kaa mie mkorofi kwanini nimemuuliza haya maswali kama ujumbe wangu kauona.

Wakati nimeuliza for gud kama ujumbe wangu aliupata au laa
Pelekea moto mpaka anakojoa
 
Usiniambie kabisa mwanamke wa namna hiyo. Nimeishi naye kwa miaka nane nilipitia mengi. Kibri, dharau kauli za matusi, kujipangia apendavyo.
Nilipofika hatua ya kuchoka kabisa sikuomba ushauri kwa MTU. Nilibwaga manyanga jumla.

Kwa sasa Nina Amani ya Moyo na afya tele. Najisikia wa furaha haswaaa.
Kutuma matumizi kwa watoto siyo kazi kubwa nitawalea hivyo hivyo nao watakuwa watu wazima.

Unaweza kufa kwa sukari na BP kwa ajili ya MTU ambaye haukuzaliwa naye kwa kisingizio cha watoto et nani atawalea.

Lakini pia kutokana na hasira za Mara kwa Mara unaweza kufanya maamzi mabaya bila kutarajia na ndo hiyo ikawa mbaya zaidi.
Ukichoka tu utaachia. Mwanamke Mjeuri havumiliki maisha yote.
Kama hutajari, mlikuwa na watoto wangapi nae.
 
Sikiliza wimbo wa Mr 2 ft Stara Thomas....kiburi dawa yake ni jeuri mkuu.
Pole sana kwa limbwata ulilopewa😂
Una moyo wa kipekee sanabkuendelea kuishi na huyo mwanamke
 
Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha

Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe .

Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa nilipo nafikiria ni staili gani niitumie kuishi nae na pia wanawake wa aina hii dawa yao huwa ni nini ifike hatua kiburi kipungue na kisirani ifike hatua ajue wewe kidume hata anapoenda wrong directions iwe rahisi kurekebishika na kuelezekeka.

Imagine kama leo hii nilimtext asubuhi hakunijibu badae alivyonitafuta mida ya jioni saa 12 nakuja kumuuliza uliona ujumbe wangu asubuhi hanipi majibu ya kueleweka

Nilivyomuuliza mara ya pili akaanza kunijibu kwa hasira na kisirani vitu havieleweki mwisho wa siku ananiona kaa mie mkorofi kwanini nimemuuliza haya maswali kama ujumbe wangu kauona.

Wakati nimeuliza for gud kama ujumbe wangu aliupata au laa
Hakuna mamma ya kuishi nae

Uwe boya au umuache ru

Mauzauza hoye
 
Kwake wewe ni very low profile. Huwezi kumbadilisha, just buy time, mwisho wake hutaishia pazuri. I tell you, you'r at very profile kwake. Utamkuta anawaheshimu wengine na hawezi kubehave kama anavo fanya kwako, so wait and be ready to put your hands up and surrender the marriage
 
Back
Top Bottom