Iringa Native
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 961
- 3,057
...
Nenda kaombe msamaha. Hiyo dhambi itakutafuna maisha yako yote. Unaweza ukawa haufanikiwi kwasababu tu ya matendo yako ya Huko nyumaje ni siri gani umeificha kwa mida mrefu na una hisi ikiaj julikana itakupa madhala sana
mimi moja ya siri nlizonazo ni kuwa nilipewa pesa na mzee nimpelekee rafiki yake anunue dawa za kutuliza plesha ila kwa akili ya kijinga nikaila ile pesa na kwa bahat mbaya yule mgojwa akafaliki usiku wa siku hyo na mpaka leo najiuliza mzee na familia ya marehem wakijua itakuaje maana wote wanajuaha kuwa malehem pesa nilimpa ila akanywea pombe...mungu anisamehe
Nenda kaombe msamaha. Hiyo dhambi itakutafuna maisha yako yote. Unaweza ukawa haufanikiwi kwasababu tu ya matendo yako ya Huko nyuma[/QUOT
...
Dah...una uhakika watoto hao ni wako kweli? Maana usije ukadhani unaficha siri kumbe unaficha ujinga[emoji13] [emoji13]Mimi nina watoto wa2 nimezaa nje ya ndoa...mmoja yuko Mbeya mwingine yuko hapa Dar...ila mke wangu mpendwa hajui hilo.
Huwa najiuliza siku mke wangu akijua sijui itakuwaje...maake huyu wa dar mama yake ni msumbufu balaa_ila ndio hivyo huwa natumia juhudi kubwa kumfunga mdomo jambo linalonigharimu hela nyingi...
Hilo ni jambo lingine mkuu...ila kwa sasa naendeleza hii siri isibumbuluke...Dah...una uhakika watoto hao ni wako kweli? Maana usije ukadhani unaficha siri kumbe unaficha ujinga[emoji13] [emoji13]
Aisee nmecheka sana! Kama nakuona vileMimi nina watoto wa2 nimezaa nje ya ndoa...mmoja yuko Mbeya mwingine yuko hapa Dar...ila mke wangu mpendwa hajui hilo.
Huwa najiuliza siku mke wangu akijua sijui itakuwaje...maake huyu wa dar mama yake ni msumbufu balaa_ila ndio hivyo huwa natumia juhudi kubwa kumfunga mdomo jambo linalonigharimu hela nyingi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]daahhh niliota napigwa kende aseeee daahhh hakuna ndoto mbaya niliota kama hiyo nilishtuka nimelowa jasho nikajigusa kwanza nilivyokuta pako salama.ndo ikawa siri hadi leo
Huyo ni jini alikutembeleadaahhh niliota napigwa kende aseeee daahhh hakuna ndoto mbaya niliota kama hiyo nilishtuka nimelowa jasho nikajigusa kwanza nilivyokuta pako salama.ndo ikawa siri hadi leo
jina kitombiHuyo ni jini alikutembelea
Ili usamehewe na uwe na amani moyoni kwanza muombe msamaha Mzee wako halafu omba msamaha kwa familia ya marehemu japo wajue tu ulichokifanya utakuwa na amani na utasamehewaNi siri gani uliyoificha kwa mda mrefu kuliko
je ni siri gani umeificha kwa mida mrefu na una hisi ikiaj julikana itakupa madhala sana