estony
Member
- Jun 26, 2015
- 95
- 19
kusamehewa kwako nikumweleza baba yako ukweli marehemu hawezi kukusameheNi siri gani uliyoificha kwa mda mrefu kuliko
je ni siri gani umeificha kwa mida mrefu na una hisi ikiaj julikana itakupa madhala sana
mimi moja ya siri nlizonazo ni kuwa nilipewa pesa na mzee nimpelekee rafiki yake anunue dawa za kutuliza plesha ila kwa akili ya kijinga nikaila ile pesa na kwa bahat mbaya yule mgojwa akafaliki usiku wa siku hyo na mpaka leo najiuliza mzee na familia ya marehem wakijua itakuaje maana wote wanajuaha kuwa malehem pesa nilimpa ila akanywea pombe...mungu anisamehe