Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,015
- 947
Hilo aliwezi kuwa siri ukikutana na mchaga kama mimi [emoji4]Mie siri niliyoificha ni kwamba "napenda sana hela"
Hilo aliwezi kuwa siri ukikutana na mchaga kama mimi [emoji4]Mie siri niliyoificha ni kwamba "napenda sana hela"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mbavu zinauma
Jamaa katisha sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mbavu zinauma
ina maana lugha ya kiswahili ndio inapotea kwa kasi ya ajabu hivi? Inasikitisha sana aisee!! Eti "Plesha" "Akafaliki" "Malehem"Ni siri gani uliyoificha kwa mda mrefu kuliko
je ni siri gani umeificha kwa mida mrefu na una hisi ikiaj julikana itakupa madhala sana
mimi moja ya siri nlizonazo ni kuwa nilipewa pesa na mzee nimpelekee rafiki yake anunue dawa za kutuliza plesha ila kwa akili ya kijinga nikaila ile pesa na kwa bahat mbaya yule mgojwa akafaliki usiku wa siku hyo na mpaka leo najiuliza mzee na familia ya marehem wakijua itakuaje maana wote wanajuaha kuwa malehem pesa nilimpa ila akanywea pombe...mungu anisamehe
[emoji23] kweli hiyo ni siri sio mchezoMe ninayo siri kubwa sana niliyoificha katika maisha yangu, ila sitoisema naendelea kuificha
Kajifundishe kuandika kwanza halafu ndio urudi JF, humu sio Instagram au fesibuku, jaribu kutofautisha.siri ningne ni
mwaka 2013 sept nlimpola jamaa angu demu bt na mm mwez huohuo sept nkapolwa na rrafk yangu ambae ni rafk pia wa niliempolaga thn October yule mwanamke akanambia anaujauzito wangu,nkakataa mimba na maneno mengi ya fedheha kama malayaa nk,alijifungua may 2014 sikumfatilia maana nlijua sio mtoto wangu ss baada ya mda sana akajaga home na mtoto kafanana na mm balaa....ni story mdefu ila pande zote zinanilaumu mpaka leo kwa kuwa nilikataa mimba ila sijawah kuwambia kwann nlikataa maana itamfanya mama wa mtoto kuonekana malaya pia hata mtoto akija kukua akaambiwa kuwa nilimkataaga bado nitabeba lawama zake na sitamwambia sabab ya kukataa ujauzito ili kulinda heshima ya mama yake.
Oya Man iyo Avatar niaje???Kajifundishe kuandika kwanza halafu ndio urudi JF, humu sio Instagram au fesibuku, jaribu kutofautisha.
[emoji23] kamata huyo mkuuKumbe aukumpatia ile pesa???? Daaaah [emoji35]
[emoji35][emoji35] huyu kesho ninaye[emoji23] kamata huyo mkuu
kk ww uchune tu ukithubutu kuwaeleza ndugu yaan itakucost kishenziNi siri gani uliyoificha kwa mda mrefu kuliko
je ni siri gani umeificha kwa mida mrefu na una hisi ikiaj julikana itakupa madhala sana
mimi moja ya siri nlizonazo ni kuwa nilipewa pesa na mzee nimpelekee rafiki yake anunue dawa za kutuliza plesha ila kwa akili ya kijinga nikaila ile pesa na kwa bahat mbaya yule mgojwa akafaliki usiku wa siku hyo na mpaka leo najiuliza mzee na familia ya marehem wakijua itakuaje maana wote wanajuaha kuwa malehem pesa nilimpa ila akanywea pombe...mungu anisamehe
daahhh niliota napigwa kende aseeee daahhh hakuna ndoto mbaya niliota kama hiyo nilishtuka nimelowa jasho nikajigusa kwanza nilivyokuta pako salama.ndo ikawa siri hadi leo
Mkuu we ni noma hadi mzaa chema!Mimi nililala na mamamkwe wangu na hakuna ajuaye huwa najuta sababu ana mtoto wangu HUWA NAJIULIZA HUYO MTOTO MKEWANGU ATAMUITAJE
nyege ni mbaya sana
[emoji45] zinanifanya nijute
ILA ile kitu tamu sana[emoji39] siachi
Mimi nina watoto wa2 nimezaa nje ya ndoa...mmoja yuko Mbeya mwingine yuko hapa Dar...ila mke wangu mpendwa hajui hilo.
Huwa najiuliza siku mke wangu akijua sijui itakuwaje...maake huyu wa dar mama yake ni msumbufu balaa_ila ndio hivyo huwa natumia juhudi kubwa kumfunga mdomo jambo linalonigharimu hela nyingi...
Wewe ushaliwa na majini mahaba bado mkono kupunga tu.😛😀😀😀😀😀😀daahhh niliota napigwa kende aseeee daahhh hakuna ndoto mbaya niliota kama hiyo nilishtuka nimelowa jasho nikajigusa kwanza nilivyokuta pako salama.ndo ikawa siri hadi leo
Mgambo wa jiji nilidhani unapenda sana kuwaonea mamalishe kumbe unapenda hela.😛😀😀😀😀Mie siri niliyoificha ni kwamba "napenda sana hela"
kwa hiyo bado uko nae sio?mwanamke alikuwa akipga diploma pale cbe mm nlikuwa ifm home alipajua na rafk zangu weng aliwafaham so hata kama ningehma lazma angenipaya coz alikuwa karb sana na rafk zangu+wale wawili aliotuchanganya ndani ya mwezi mmoja!!