Ni siri gani uliyoificha kwa muda mrefu?

Ni siri gani uliyoificha kwa muda mrefu?

Mimi nililala na mamamkwe wangu na hakuna ajuaye huwa najuta sababu ana mtoto wangu HUWA NAJIULIZA HUYO MTOTO MKEWANGU ATAMUITAJE

nyege ni mbaya sana
[emoji45] zinanifanya nijute

ILA ile kitu tamu sana[emoji39] siachi
HAPA TU NDIYO HUWA NACHOKA AISEE
Watu mnapiga kipara hadi pasipotakiwa
 
Ni siri gani uliyoificha kwa mda mrefu kuliko

je ni siri gani umeificha kwa mida mrefu na una hisi ikiaj julikana itakupa madhala sana
mimi moja ya siri nlizonazo ni kuwa nilipewa pesa na mzee nimpelekee rafiki yake anunue dawa za kutuliza plesha ila kwa akili ya kijinga nikaila ile pesa na kwa bahat mbaya yule mgojwa akafaliki usiku wa siku hyo na mpaka leo najiuliza mzee na familia ya marehem wakijua itakuaje maana wote wanajuaha kuwa malehem pesa nilimpa ila akanywea pombe...mungu anisamehe

Marehemu anakuona
 
niliacha kazi na bila kufahamu, wakijua niko likizo miezi 3
 
Nenda kaombe msamaha. Hiyo dhambi itakutafuna maisha yako yote. Unaweza ukawa haufanikiwi kwasababu tu ya matendo yako ya Huko nyuma
Siku utakayoomba msamaha utaijutia maisha yako yote! Tumia akili zaidi kuliko hisia, heshima yako itashuka zaidi na zaidi, amani itatoweka kupindukia, na taarifa zitazagaa familia, Ndugu na ukoo wote.
Vice versa can be true through don't dare may cost rest of life[emoji289] [emoji289] [emoji289] [emoji290] [emoji290]
Hilo ni jambo lingine mkuu...ila kwa sasa naendeleza hii siri isibumbuluke...
 
msahama nataman sana ila namna ya kuupa sio simple nahs na daima natafta namna nzur ya kuomba msamaha lakn bado sijapata!!!!!,nimejiweka kalb na famila yake kias kwamba nikiwa na chochote bhas 30% huwa natumia kwao ila ipo siku ntawaomba msamaha direct
kujutia tu instosha mkuu usijaribu kuwaambia baadhi ya mambo ni mazuri kutosemwa.
 
Hilo ni jambo lingine mkuu...ila kwa sasa naendeleza hii siri isibumbuluke...
Umefeli dunia haina siri mkuu. shoz niga nae alikua na mtoto nje ya ndoa ikaja kubainika baada ya miaka 20 wakaachana namkewe.
 
siri ningne ni

mwaka 2013 sept nlimpola jamaa angu demu bt na mm mwez huohuo sept nkapolwa na rafk yangu ambae ni rafk pia wa niliempolaga thn October yule mwanamke akanambia anaujauzito wangu,nkakataa mimba na maneno mengi ya fedheha kama malayaa nk,alijifungua may 2014 sikumfatilia maana nlijua sio mtoto wangu ss baada ya mda sana akajaga home na mtoto kafanana na mm balaa....ni story mdefu ila pande zote zinanilaumu mpaka leo kwa kuwa nilikataa mimba ila sijawah kuwambia kwann nlikataa maana itamfanya mama wa mtoto kuonekana malaya pia hata mtoto akija kukua akaambiwa kuwa nilimkataaga bado nitabeba lawama zake na sitamwambia sabab ya kukataa ujauzito ili kulinda heshima ya mama yake.
Mkuu umekomaa kiakili, ila kama wazazi wako walipomwona yule mtoto walimkubali basi hakika huyo ni mwanao.

Ila naomba nikuulize kitum huyo mwanamke alifikaje nyumbani?
 
Ni siri gani uliyoificha kwa mda mrefu kuliko

je ni siri gani umeificha kwa mida mrefu na una hisi ikiaj julikana itakupa madhala sana
mimi moja ya siri nlizonazo ni kuwa nilipewa pesa na mzee nimpelekee rafiki yake anunue dawa za kutuliza plesha ila kwa akili ya kijinga nikaila ile pesa na kwa bahat mbaya yule mgojwa akafaliki usiku wa siku hyo na mpaka leo najiuliza mzee na familia ya marehem wakijua itakuaje maana wote wanajuaha kuwa malehem pesa nilimpa ila akanywea pombe...mungu anisamehe
Kumbe aukumpatia ile pesa???? Daaaah [emoji35]
 
Mimi nililala na mamamkwe wangu na hakuna ajuaye huwa najuta sababu ana mtoto wangu HUWA NAJIULIZA HUYO MTOTO MKEWANGU ATAMUITAJE

nyege ni mbaya sana
[emoji45] zinanifanya nijute

ILA ile kitu tamu sana[emoji39] siachi
Kweli dunia ni jehanamu kabisa.
 
msahama nataman sana ila namna ya kuupa sio simple nahs na daima natafta namna nzur ya kuomba msamaha lakn bado sijapata!!!!!,nimejiweka kalb na famila yake kias kwamba nikiwa na chochote bhas 30% huwa natumia kwao ila ipo siku ntawaomba msamaha direct
Be a man, Kuna vitu ambavyo tutaenda navyo kaburini.
 
daahhh niliota napigwa kende aseeee daahhh hakuna ndoto mbaya niliota kama hiyo nilishtuka nimelowa jasho nikajigusa kwanza nilivyokuta pako salama.ndo ikawa siri hadi leo
[emoji28][emoji28][emoji28] mkuu ulijipapasa vizuri kweli ukaakikisha upo salama yale maeneo???
 
msahama nataman sana ila namna ya kuupa sio simple nahs na daima natafta namna nzur ya kuomba msamaha lakn bado sijapata!!!!!,nimejiweka kalb na famila yake kias kwamba nikiwa na chochote bhas 30% huwa natumia kwao ila ipo siku ntawaomba msamaha direct
Mkuu usifanye hilo kosa, litakugharimu sana maisha yako yote, Muombe Mungu wako msamaha yaishie hapo hapo. Kuwaomba ndugu msamaha na kusema kweli ni kujitafutia matatizo.
By the way inawezekana time yake ilikuwa imefika tu, unafikiri wanaofiaga hospitali kubwa huwa ni kwamba hamna dawa au hamna hela ya dawa?
 
Back
Top Bottom