Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

Mimi ni mafia Sana.... Japo kwa rangi niliyonayo ya huu weupe Kuna watu huwa wananichukulia kuwa mimi ni dhaifu..... Mwanamke akinipenda kuachana na mimi huwa ni ngumu japo wanaojaribu kuachana na mimi huondoka huku wanalia kwa uchungu.....
 
Mm binafsi ni mambo ya kimaendeleo huwa sipendi watu wangu wa karibu wajue.
Hapa bado hujasema siri. Unatakiwa useme hayo maendeleo unayoyafanya ambayo ni siri.

Mfano: Najenga nyumba, hii nyumba sitaki baba mkwe na mwanae waijue. Baba mkwe kuna jicho huwa ananitazama nahisi kama kanishtukia kuna jambo naficha ficha.

Hiyo ndo siri umeisema ila kwa sababu una fake id hutojulikana.
 
Nafikiria kuachia piemu yangu wazi, nicheke na wana wa Israel ila lazima watanitibua tu. Najua akili zao zilivyo na ukorofi.

Ila mimi nakupenda unanipa burudani sana, vipi ule mzigo ushafika?? Dejane shosti ww uliletewa wako? 😜
Muhimu kuangalia nani na nani uwajibu huko Pm
🤭🤭🤭Mizigo ipo kibao mwaya.
Tena awamu hii imekuja mpaka ya chuma.
Wachina watatuua wallah!!!
Niliuona mmoja hui, nikajisemea kimoyomoyo, wanawake tuna moto wa peke yetu huko kuzimu 🔥🔥🔥
 
Japo wapo wanaokuja kwa masuala ya msingi, ila wengine wanaboa sana.
Sisi wengine hatuwezi kufunga Pm zetu maana ndio ofisi zetu na vibaraza vyetu wakati mwingine na zaidi kuna masuala ambayo hatuwezi kupeana namba za simu zaidi ya Pm, ila ndio hivo hakuna namna.
Tunaishi kwenye jamii tunayoivumilia sana Lamomy
Ila madam una kitu flani hivi napendaga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom