Mmh mbona hizo story mimi zimenipita.kwangu ya peniela na Danny mpaka mate ingawa mwisho story ikawa haieleweki
Ngoja ntafanya hivyoNaombeni link jamani mi zimenipita wakuu..
Cc MLALUKO JR
Nilifanya Mapenzi Na Maiti 20 Nitajirike – sehemu ya 1Naombeni link jamani mi zimenipita wakuu..
Cc MLALUKO JR
Riwaya: Mke wa RaisNaombeni link jamani mi zimenipita wakuu..
Cc MLALUKO JR
Peniela (Story ya kijasusi)Kwanini usiweke na link za nyuzi hizo mkuu?
Nifah!
Am right here babes..Honey...come over pls,do the needful cc The bold
Daaah!aksante mkuu,Ila nilitaka kuuliza kuhusu avatar yako ila ngoja nikae kimya coz inafanna ya Nifah
Hahahaha! Na avatar ya Nifah inafana na yangu..Daaah!aksante mkuu,Ila nilitaka kuuliza kuhusu avatar yako ila ngoja nikae kimya coz inafanna ya Nifah