Ni short course gani ambayo ni nzuri na ipo katika soko kwa sasa?

Habarin ndugu zangu,mimi n kijana mweny bachelor degree ya public administration ambapo nilihitimu mwaka juz,ila kutokana na changamoto za ajira zilivyo nimeon ni bora hata nifanye mchakato wakupiga short course naamin nikiisoma inaweza kunisogeza maali fulan pind nitafutapo ajira,swali langu linakuja hapa je ni short course gan ambayo n nzuri yaan ipo katika soko kwa sasa
Kasome udereva
 
Hii thread angalau itatatoa mwangaza kwa vijana tunaosubiria neema ya ajira tukajikita kwenye kuongeza skills mbalimbali. itachagiza kitu kwenye cv ,itaongeza value ya mhusika na pia itafungua fursa ya kujiajiri.

Baada ya kufanya utafiti wangu na kuona nini ninapenda na nini ninaweza, nimeamua kujikita Kwenye angle ya Computer Aided Design. Ambapo Kuna skills kama :-

1. Graphics Design .Hapa tukimaanisha uandaaji wa mabandiko yoote tunayoyaona mitandaoni,television,magazetini ,majarida na vipeperushi.
Tools zinazotumika ni Adobe PS, Ai na Id

2.Motion Graphics .Kwa maana ya picha mjongeo zilizotengenezwa kwa computer, ikijumuisha video zote zilizotengenezwa kwa computer mfano matangazo ya television, mitandaoni, movies nk
na hapa tools ni AE,C4D,Element3D na Pr)

3.Animation (hapa tools ni Adobe AE , Animator na Ai)

3.Digital Copywriting. Hapa tuanaongelea uandaaji wa content za mitandaoni ,ikimaanisha swala nzima la ushawishi wa kutumia maneno.

4.Video Editing . Ikimaanisha uandaaji wa music videos ,movies, matangazo nk (Hapa tool ni Adobe Pr na AE)

Ieleweke unaweza ukajua vyote hapo ukiwa tu na bando lako.Just download cracked software za Adobe .ingia YT then cheza na Google.

NB: Nipo tayari kupokea ushauri na kusahihishwa pale itakapobidi. Nawasilisha
 
Nakushauri kasomee umeme wa magari (Auto electrical) ama Motor Vehicle hutojutia kwa mie mtu akinifata nakumpa ushauri
Mkuu huo umeme wa magari soko ni la kuajiliwa au pia ni rahisi kujiajiri Kwa mfano mtu mwenye diploma
 
Hii thread angalau itatatoa mwangaza kwa vijana tunaosubiria neema ya ajira tukajikita kwenye kuongeza skills mbalimbali. itachagiza kitu kwenye cv ,itaongeza value ya mhusika na pia itafungua fursa ya kujiajiri.

Baada ya kufanya utafiti wangu na kuona nini ninapenda na nini ninaweza, nimeamua kujikita Kwenye angle ya Computer Aided Design. Ambapo Kuna skills kama :-

1. Graphics Design .Hapa tukimaanisha uandaaji wa mabandiko yoote tunayoyaona mitandaoni,television,magazetini ,majarida na vipeperushi.
Tools zinazotumika ni Adobe PS, Ai na Id

2.Motion Graphics .Kwa maana ya picha mjongeo zilizotengenezwa kwa computer, ikijumuisha video zote zilizotengenezwa kwa computer mfano matangazo ya television, mitandaoni, movies nk
na hapa tools ni AE,C4D,Element3D na Pr)

3.Animation (hapa tools ni Adobe AE , Animator na Ai)

3.Digital Copywriting. Hapa tuanaongelea uandaaji wa content za mitandaoni ,ikimaanisha swala nzima la ushawishi wa kutumia maneno.

4.Video Editing . Ikimaanisha uandaaji wa music videos ,movies, matangazo nk (Hapa tool ni Adobe Pr na AE)

Ieleweke unaweza ukajua vyote hapo ukiwa tu na bando lako.Just download cracked software za Adobe .ingia YT then cheza na Google.

NB: Nipo tayari kupokea ushauri na kusahihishwa pale itakapobidi. Nawasilisha
Mkuu namba nikufate imbox kama hutojari

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Somea mambo ya
Afya
Technology
Media /production, video/photography
Technician: magari /umeme /etc
 
Dar-es-salaam Institute of Technology - Mwanza Campus
ICT Short Courses! 🌐

Choose from a variety of courses, including:
1. Computer Applications(PC fundamentals, Ms Word, Ms excel, Ms publisher, Ms PowerPoint, Ms access & Internet Applications)
2. Computer Maintenance & Repair
3. Web development using CSS and Html
4. Website Design using PHP & MYSQL
5. Graphics Design using Adobe Photoshop and Illustrator
6. Basic Computer Networking
7. Printer Maintenance and Repair
8. Basic Computer Programming C/C++
9.Motion Graphics and Visual Effects

📚 Learn from industry experts, gain practical knowledge, and boost your career in the fast-paced world of Information and Communication Technology. 🌟

Don't miss out – enroll today and become an ICT pro! 💻🎓
Contacts: 0713340212
0629153727
 
Dar-es-salaam Institute of Technology - Mwanza Campus
ICT Short Courses
!

Choose from a variety of courses, including:
1. Computer Applications(PC fundamentals, Ms Word, Ms excel, Ms publisher, Ms PowerPoint, Ms access & Internet Applications)
2. Computer Maintenance & Repair
3. Web development using CSS and Html
4. Website Design using PHP & MYSQL
5. Graphics Design using Adobe Photoshop and Illustrator
6. Basic Computer Networking
7. Printer Maintenance and Repair
8. Basic Computer Programming C/C++
9.Motion Graphics and Visual Effects

Learn from industry experts, gain practical knowledge, and boost your career in the fast-paced world of Information and Communication Technology.

Don't miss out – enroll today and become an ICT pro!
Contacts: 0713340212
0629153727
Asante
 
Back
Top Bottom