Je, ni diploma gani au course gani naweza kusoma kwa kutumia cheti cha Ualimu?

kopo la chumvi

JF-Expert Member
Aug 10, 2021
256
459
Polee sana na kazi wakuu

Naomba ushauri
Mimi nimesomea ualimu ngazi ya cheti daraja la IIIA,,Sasa ni mwaka wa nne tangu nihitimu
Je ni diploma gani au course gani naweza kusoma kwa kutumia cheti cha ualimu ndani ya fani hiyohiyo ? Msaada tafadhali asantee sana
 
Back
Top Bottom