Ni short course gani ambayo ni nzuri na ipo katika soko kwa sasa?

Habarin ndugu zangu,mimi n kijana mweny bachelor degree ya public administration ambapo nilihitimu mwaka juz,ila kutokana na changamoto za ajira zilivyo nimeon ni bora hata nifanye mchakato wakupiga short course naamin nikiisoma inaweza kunisogeza maali fulan pind nitafutapo ajira,swali langu linakuja hapa je ni short course gan ambayo n nzuri yaan ipo katika soko kwa sasa
 
Nimejifunza katika maisha ni muhimu sana kutambua nini exactly unataka katika maisha (Purpose), hii urahisisha maisha hata katika harakati za utafutaji.

Ulimwengu wa sasa tafuta ujuzi na uwe vizuri katika kufanya na siyo tu kuwa na vyeti kwa lengo la kuimarisha CV yako.

Ujuzi utakusaidia hata kuanzisha cha kwako na kukisimamia kuwa kikubwa zaidi.

Ingia katka ulimwengu wa Teknolojia, tafuta chochote ambacho unahisi utakipenda zaidi kisha chukua short course yake soma.

Ila kama hujui kitu gani haswa utakachopendelea nakushauri kaa chini kisha tengeneza Ramani nzima ya maisha yako kwanza ujue wapi unaelekea na destination yako ni ipi, hii itakusaidia kujua hapa katikati ufanye vitu gani ambavyo vitakusaidia kufika huko unapohitaji kufika.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Database, wanahitajika sn serikalini na hata private huko.Lakini pia fanya utafiti vzr ili ujiridhishe.Kama una mtu wa serikalini muulize kwa ufafanuzi zaidi
Oh saw saw kiongoz na je hii hiitwayo multimedia nayo imekaaje kiongoz kam unaijua
 
Nimejifunza katika maisha ni muhimu sana kutambua nini exactly unataka katika maisha (Purpose), hii urahisisha maisha hata katika harakati za utafutaji.

Ulimwengu wa sasa tafuta ujuzi na uwe vizuri katika kufanya na siyo tu kuwa na vyeti kwa lengo la kuimarisha CV yako.

Ujuzi utakusaidia hata kuanzisha cha kwako na kukisimamia kuwa kikubwa zaidi.

Ingia katka ulimwengu wa Teknolojia, tafuta chochote ambacho unahisi utakipenda zaidi kisha chukua short course yake soma.

Ila kama hujui kitu gani haswa utakachopendelea nakushauri kaa chini kisha tengeneza Ramani nzima ya maisha yako kwanza ujue wapi unaelekea na destination yako ni ipi, hii itakusaidia kujua hapa katikati ufanye vitu gani ambavyo vitakusaidia kufika huko unapohitaji kufika.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Aysante sana kiongoz kwa ushauri wako
 
Habarin ndugu zangu,mimi n kijana mweny bachelor degree ya public administration ambapo nilihitimu mwaka juz,ila kutokana na changamoto za ajira zilivyo nimeon ni bora hata nifanye mchakato wakupiga short course naamin nikiisoma inaweza kunisogeza maali fulan pind nitafutapo ajira,swali langu linakuja hapa je ni short course gan ambayo n nzuri yaan ipo katika soko kwa sasa
Kuna course mbili ambazo unaweza pata ajira kirahisi haswa kwa wewe damu bado ni changa.

1. Data science/analysis
2. Social media management (social media optimization/copywriting/graphic design)

Uzuri ni kwamba hauitaji kwenda chuo kujifunza unaweza soma online na kufanya practice mpaka unakuwa skilled.

Kama utahitaji msaada kwenye social media management naweza kukusaidia baadhi ya vitu vya kuanza navyo.
 
Habarin wadau,nimehitim diploma ya mambo ya utawala,sasa niliona nipige hata short course kutokana na changamoto za ajira,nilikuw nauliza je hii short course ya civil drafting ukiachana na chuo cha veta cha dar es salaam je kwa upande wa dodoma nao pia wanatoa? Msaada wadau kwa anaejua
Nakushauri kasomee umeme wa magari (Auto electrical) ama Motor Vehicle hutojutia kwa mie mtu akinifata nakumpa ushauri
 
Kuna course mbili ambazo unaweza pata ajira kirahisi haswa kwa wewe damu bado ni changa.

1. Data science/analysis
2. Social media management (social media optimization/copywriting/graphic design)

Uzuri ni kwamba hauitaji kwenda chuo kujifunza unaweza soma online na kufanya practice mpaka unakuwa skilled.

Kama utahitaji msaada kwenye social media management naweza kukusaidia baadhi ya vitu vya kuanza navyo.
Oh aysante mkuu
 
Nakushauri kasomee umeme wa magari (Auto electrical) ama Motor Vehicle hutojutia kwa mie mtu akinifata nakumpa ushauri
Napenda sana umeme wa magari
Mkuu kama unauzoefu kwenye huu umeme wa magari, tupe japo dondoo mbili tatu katika hii fani
 
Kuna course mbili ambazo unaweza pata ajira kirahisi haswa kwa wewe damu bado ni changa.

1. Data science/analysis
2. Social media management (social media optimization/copywriting/graphic design)

Uzuri ni kwamba hauitaji kwenda chuo kujifunza unaweza soma online na kufanya practice mpaka unakuwa skilled.

Kama utahitaji msaada kwenye social media management naweza kukusaidia baadhi ya vitu vya kuanza navyo.
Kiongozi naomba mwanga katika hiyo multimedia
 
Kuna course mbili ambazo unaweza pata ajira kirahisi haswa kwa wewe damu bado ni changa.

1. Data science/analysis
2. Social media management (social media optimization/copywriting/graphic design)

Uzuri ni kwamba hauitaji kwenda chuo kujifunza unaweza soma online na kufanya practice mpaka unakuwa skilled.

Kama utahitaji msaada kwenye social media management naweza kukusaidia baadhi ya vitu vya kuanza navyo.
Iyo social media management naomba mwanga
 
Nakushauri kasomee umeme wa magari (Auto electrical) ama Motor Vehicle hutojutia kwa mie mtu akinifata nakumpa ushauri
Hii course inapatikana wapi kwa dar ... I mean ni sehem gani nzuri kupatia elimu hii
 
Back
Top Bottom