Habari wakuu? Mimi ni kijana mwenye shahada ya kwanza ya uhandisi wa viwanda.
Muda sasa nimekuwa nikifikiria wapi nitapata 'short courses' hasa kwenye vyuo vyetu/taasisi za ndani kwa ajili ya kujiendeleza.
Nimekuwa natamani kujiendeleza kwa 'short courses' mbalimbali katika masuala ya sayansi, uhandisi na fedha.
Japo niliwahi kusikia taasisi kama OSHA kuna 'short courses' wanatoa lakini bado sijapata taarifa za kutosha.
Japo ni muajiriwa, lakini napendelea zaidi kujiendeleza katika 'short courses' sababu naamini nitapata 'wide knowledge' kwa muda mfupi.
Hivyo nawaombeni ndugu zangu, yeyote mwenye mchango ambao utakuwa na msaada katika hili anisaidie.
Natanguliza shukrani za dhati.