Ni sahihi Mwalimu kusema, "I am a teacher by profession?"

Ni sahihi Mwalimu kusema, "I am a teacher by profession?"

Ualimu unaozumgumziwa hapa ni Education sio kufundisha.

Yaani iwe certificate, Diploma, Degree, Masters au PhD ni lazima isome Education.

Sio mtu kamaliza uchumi ila alipata maksi za juu akapata nafasi ya kufundisha vyuo vikuu au vya kati.

Ndio maana sio taaluma kamili, kwa sababu mtu yoyote anaweza kufundisha
Kwahiyo lecturers hawapo kwenye Hilo kundi la walimu? Maana tuna maprofesa wanafundisha hao mainjinia na mawakili huko vyuoni wao wanawekwa kundi gani sasa
 
Hizo kazi unasema lazima zifanywe na waliosomea ushapata ripoti za watu wangapi waliowahi kujifanya ni watu wa taaluma hiyo kwa miaka zaidi ya mitano bila kushtukiwa
 
Mbona hatu chuoni kwenye somo la education psychology (EP) linaelezea kabisa ualimu sio professional...

Kwa mwalimu aliyesoma anajua kabisa teaching is not professional,Hawa wanaobisha sijui wanabisha nin ...

Mtoa maada upo sahihi kabisa ..

Hawa wanaobisha ni either hawajui wanataka uwaeleweshe japo naona hawataki kuelewa ..
 
Kwanza nikiri tu kwamba nawaheshimu sana Walimu.

Nafahamu kwamba profession yoyote duniani ina sifa kuu nne (4);
(1) Wanavaa mavazi maalumu wakiwa kazini (Attire).

(2) Wana lugha ambazo wanaweza kuzitumia kuwasiliana wao wenyewe kwa kificho (Jargons and Technical terms).

(3) Wana Vyama vya Kitaaluma ambamo wanasajiliwa (Societies).

(4) Kazi zao haziwezi kufanywa na mtu ambaye siyo Mwanataaluma hiyo.

Kwa sifa hizo hapo juu, nawiwa kusema kwamba profession ni tatu tu; WANASHERIA, MADAKTARI na MAINJINIA.

Nitatolea mfano kwa Wanasheria;

●Wakiwa Mahakamani wanavaa majoho (Court attire).

●Wanaweza kuwasiliana wao wenyewe kwa kificho; kwa mfano Mwanasheria akisema "Courts go on vacation", mtu ambaye siyo Mwanasheria itamuwia vigumu kuelewa.

●Wana Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS)

● Kazi zao haziwezi kufanywa na mtu ambaye siyo Mwanataaluma hiyo, lakini wao wanaweza kufanya kazi za taaluma nyingine kama kufundisha, wanafunzi wakaelewa na wakafaulu vizuri tu.

Sasa, siku hizi utasikia mtu anasema, "I am a teacher by profession", hii ni sahihi? Au maana ya profession imebadilika au kuhuishwa?

Naomba kueleweshwa...
Ina maana wewe hukuwahi kukaa darasani? Kama una elimu, uliipataje Mheshimiwa mdharau waalimu!
 
Kwa vigezo vyako tuu ulivyovitoa, profession ni zaidi ya hizo ulizoziorodhesha.
Means unajicontradict mwenyewe.

Bado hivyo vigezo hatujui umevitoa wapi, kichwani mwako?
Fulu mvurugiko yani

Yeye anaona wenzake wanapuyunga kimtindo na wezie tunaona na yeye amapuyanga vilevile

Mmoja kasema ualimu ni nusu taaluma Kwa kuzingatia kigezo kuwa yeyote anaweza kufundisha Wala si mpingi ila ukiishia form four inakuwa ngumu kufundisha A- level napia ataukisoma mpaka degree+ inakuwa ngumu kufundisha baadhi ya masomo ambayo hujayasomea Kwa kina.Sasa hapo Kuna utalaamu(taaluma) au hakuna

Mimi ninacho jua ualimu ndio taaluma ya kwanza Kwa Kila aliyesoma.Mfano ukifika mpaka A-level ukachagua tahasusi Fulani basi tunajua kuwa lazima utakuwa na uwezo WA kufundisha masomo husika ila hutoweza kufundisha Wanafunzi wa chuo kikamilifu kutokana na kuwa chuo Kuna taaluma tofautitofauti zilizo jikita katika jambo Fulani, ila mwalimu hasa kuanzia shule ya awali mpaka A-level anandaliwa kipindi yupo shule anasoma(shule ya awali-A-level) akifika chuo anaenda kuongeza maarifa zaidi ya ualimu
 
Kuna vitu vingi vinafanywa na watu wa kawaida ambavyo ni kazi ya mainjinia.

Mfano, injinia wa umeme, watoto form four failures kutoka Veta wanawatoa nishai uko field!!
Njoo kwa hawa wa ujenzi hapa utacheka kabisa.

Mainjia wa Teknolojia hawa ndo usiseme!! Wamekaririshwa madarasani hawajui vitu vinabadirika daily!!
Umewasahau mechanical na wanagereji wa la saba
Na baadhi ya utabibu
 
Kwanza nikiri tu kwamba nawaheshimu sana Walimu.

Nafahamu kwamba profession yoyote duniani ina sifa kuu nne (4);
(1) Wanavaa mavazi maalumu wakiwa kazini (Attire).

(2) Wana lugha ambazo wanaweza kuzitumia kuwasiliana wao wenyewe kwa kificho (Jargons and Technical terms).

(3) Wana Vyama vya Kitaaluma ambamo wanasajiliwa (Societies).

(4) Kazi zao haziwezi kufanywa na mtu ambaye siyo Mwanataaluma hiyo.

Kwa sifa hizo hapo juu, nawiwa kusema kwamba profession ni tatu tu; WANASHERIA, MADAKTARI na MAINJINIA.

Nitatolea mfano kwa Wanasheria;

●Wakiwa Mahakamani wanavaa majoho (Court attire).

●Wanaweza kuwasiliana wao wenyewe kwa kificho; kwa mfano Mwanasheria akisema "Courts go on vacation", mtu ambaye siyo Mwanasheria itamuwia vigumu kuelewa.

●Wana Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS)

● Kazi zao haziwezi kufanywa na mtu ambaye siyo Mwanataaluma hiyo, lakini wao wanaweza kufanya kazi za taaluma nyingine kama kufundisha, wanafunzi wakaelewa na wakafaulu vizuri tu.

Sasa, siku hizi utasikia mtu anasema, "I am a teacher by profession", hii ni sahihi? Au maana ya profession imebadilika au kuhuishwa?

Naomba kueleweshwa...

For me I would say “I am by profession a teacher” means that you are teacher base by your chosen degree ex. I am a teacher for an I.T. student.

I am a professional teacher” means you have a degree as a teacher.
 
Hata wafungwa gerezani wanavaa sare

Wagonjwa wa akili hospitalini huvaa sare

Hawa wote ni professionals?

Mwalimu anaruhusiwa kutumia peni nyekundu kurekebisha majinga tanayoongezeka kila uchao

Mwalimu ni muumbaji baada ya Mungu kukamilisha uumbaji wake
 
Aisee hatari aiwezi kuwa profession mbaka muwe na sare itakayowatambulisha
mainjinia wanapenda kuvaa zile kofia kwa ajili ya usalama nazani.

Madaktari, wauguzi, wahudumu wa afya kiujumla zile sare nafikili kwa ajili ya usafi endapo inachafuka ni chap kuiona kulingana na shughuli zao zinaitaji usafi wa kiwango Cha juu sanaaaa.
Kwa walimu Sasa code Yao sijui iweje kulingana na mazingira Yao au wavae element ? Ili wasitupe mate kwa front bench wawapo madarasani ety
 
Kazi ipoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huku kote ni kujimwambafai tu na kutaka kujiona Bora mbele ya wengine. Sisi kama jamii tunataka kuwatambua watu kwa michango yao katika jamii zetu kupitia elimu zao na si vinginevyo. Nadhani tumeelewana maproffesional mnaosimamia miradi mikubwa nchini pamoja na kufanya upasuaji wa watoto walioungana vichwa bila kusahau jinsi mnavyopambania taifa kwenye kesi za uwekezaji na kuibuka kidedea.
 
Back
Top Bottom