Ni sahihi Mwalimu kusema, "I am a teacher by profession?"

Ni sahihi Mwalimu kusema, "I am a teacher by profession?"

Mbona hatu chuoni kwenye somo la education psychology (EP) linaelezea kabisa ualimu sio professional...

Kwa mwalimu aliyesoma anajua kabisa teaching is not professional,Hawa wanaobisha sijui wanabisha nin ...

Mtoa maada upo sahihi kabisa ..

Hawa wanaobisha ni either hawajui wanataka uwaeleweshe japo naona hawataki kuelewa ..
Dah mkuu asante sana kwa ushuhuda huu.

Ikikupendeza basi naomba utiririke zaidi tafadhali.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hata wafungwa gerezani wanavaa sare

Wagonjwa wa akili hospitalini huvaa sare

Hawa wote ni professionals?

Mwalimu anaruhusiwa kutumia peni nyekundu kurekebisha majinga tanayoongezeka kila uchao

Mwalimu ni muumbaji baada ya Mungu kukamilisha uumbaji wake
Ni kweli wagonjwa wa akili na wafungwa wana sare. Hii ni sifa moja tu kati ya 4 nilizoziainisha kwa mifano. Hizo 3 huzitaki au umeamua tu kujisahaulisha mkuu?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Aisee hatari aiwezi kuwa profession mbaka muwe na sare itakayowatambulisha
mainjinia wanapenda kuvaa zile kofia kwa ajili ya usalama nazani.

Madaktari, wauguzi, wahudumu wa afya kiujumla zile sare nafikili kwa ajili ya usafi endapo inachafuka ni chap kuiona kulingana na shughuli zao zinaitaji usafi wa kiwango Cha juu sanaaaa.
Kwa walimu Sasa code Yao sijui iweje kulingana na mazingira Yao au wavae element ? Ili wasitupe mate kwa front bench wawapo madarasani ety
[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom