Kuna mafundi gereji,mafundi ujenzi,seremala,mafundi umeme nazani Hawa nao ni maprofeshino ila tu hawajasoma mpaka degree, masters au PhD ila nikiwacheki hasa watu wa gereji ni profeshino balaaa maana kunawatu wanaichambua injini balaah na ameishia la sabaAskari/wanajeshi ni nini ? Kama huwatambui kuwa ni profession
Tukirudi kwenye mada, profession ni taaluma kwa kiswahili, yani kazi ambayo mtu ameisomea,ana utaalamu nayo au ujuzi. Sio lazima kuwe na sare kama unavotaka
Tukifuata vigezo vyako basi mtoto wako naye ni student by profession kwa sababu ana sare,chama na anafanya kazi ambazo mtu mwingine (baba yake,mama yake) hamuwezi kufanya pia anawasiliana na wenzake kwa lugha wanazojua wao
Labda walimu nao watufate sare zao,watafute code zao ngumu za ongeaji ambazo yoyote akisikiliza hato zielewa mpaka akajifubzeOxford wanalielezea neno profession kama;
a paid occupation, especially one that involves prolonged training and a formal qualification.
"his chosen profession of teaching"
Na mfano waliotoa ni huo wa mwalimu, ambaye wewe mleta mada unasema sio taaluma. Sasa sijui nani mjuzi zaidi wa haya mambo
Brilliant analysis! Congrats mkuu!I am an engineer by profession, Nina shahada ya Uhandisi wa kilimo kutoka chuo cha SUA.
Na kama hiyo haitoshi baada ya kumaliza chuo na kufanya kazi kwa miaka mitatu mhandisi mhitimu nimesajiliwa na bodi ya wahandisi Tanzania/ERB kama mhandisi mbobezi (Profesional Engineer)!
Leseni yangu ya mhandisi mbobezi inaisha muda wake baada ya miaka mitatu na kwa kipindi hiki natakiwa kujiendeleza katika kukuza ujuzi katika fani yangu ili baada ya miaka mitatu leseni yangu ihuishwe!
Umeona tofauti hapo?
Naam Mkuu, yani na vyeti vya VETA wengine wanavyo, juzi nimeona VETA wanatoa course ya conductor wa Bus,hii nayo ni profession sababu wamesomeaKuna mafundi gereji,mafundi ujenzi,seremala,mafundi umeme nazani Hawa nao ni maprofeshino ila tu hawajasoma mpaka degree, masters au PhD ila nikiwacheki hasa watu wa gereji ni profeshino balaaa maana kunawatu wanaichambua injini balaah na ameishia la saba
Mkuu nakushukuru sana.1. Kwanini unasema mtu hawezi fundisha kama hakasomea? Mbona mimi nafundisha? Ukisema huwezi tibu kufanyia mtu upasuaji kama hujasomea nitakuelewa na ndio maana tunasema madokta ni "profession".
3. Huwezi linganisha CWT inavyo fanya kazi na ERB! mfano ili injinia uendelee kuwa injinia ni lazima bodi ifwatilie na kuhakikisha unajiendeleza kitaaluma, je CWT wanafanya hivyo? Au wanakusanya pesa tu?
4. Mavazi maalum ya walimu ni yapi? Ya madokta, mainjinia na wanasheria tunayajua, je ya walim ni yapi?
[emoji23][emoji23]Huyu jamaa anataka kufananisha walikuwa wa kujitolea na walimu waliopitia mafunzo
Yani Sasa hivi kwasababu ya biashara Kila kitu kitakuwa ni professional,na pia Kuna watu na kazi zao wewe kamasio mzoefu HUWEZI elewa wanaongea Nini yaniNaam Mkuu, yani na vyeti vya VETA wengine wanavyo, juzi nimeona VETA wanatoa course ya conductor wa Bus,hii nayo ni profession sababu wamesomea
Hapa tuwalaumu walimu wako,hawakukufundisha vitu vya msingiKwanza nikiri tu kwamba nawaheshimu sana Walimu.
Nafahamu kwamba profession yoyote duniani ina sifa kuu nne (4);
(1) Wanavaa mavazi maalumu wakiwa kazini (Attire).
(2) Wana lugha ambazo wanaweza kuzitumia kuwasiliana wao wenyewe kwa kificho (Jargons and Technical terms).
(3) Wana Vyama vya Kitaaluma ambamo wanasajiliwa (Societies).
(4) Kazi zao haziwezi kufanywa na mtu ambaye siyo Mwanataaluma hiyo.
Kwa sifa hizo hapo juu, nawiwa kusema kwamba profession ni tatu tu; WANASHERIA, MADAKTARI na MAINJINI.
Nitatolea mfano kwa Wanasheria;
â—ŹWakiwa Mahakamani wanavaa majoho (Court attire).
â—ŹWanaweza kuwasiliana wao wenyewe kwa kificho; kwa mfano Mwanasheria akisema "Courts go on vacation", mtu ambaye siyo Mwanasheria itamuwia vigumu kuelewa.
â—ŹWana Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS)
â—Ź Kazi zao haziwezi kufanywa na mtu ambaye siyo Mwanataaluma hiyo, lakini wao wanaweza kufanya kazi za taaluma nyingine kama kufundisha, wanafunzi wakaelewa na wakafaulu vizuri tu.
Sasa, siku hizi utasikia mtu anasema, "I am a teacher by profession", hii ni sahihi? Au maana ya profession imebadilika au kuhuishwa?
Naomba kueleweshwa...
Nashukuru sana mkuu.una kitu, utafika mbali!
Basi samahani sana mkuu [emoji1]ndo utolee mfano walimu?kwa niaba ya dem wangu mwl ninakutukana
[emoji23][emoji23]Kwani Mpwayungu anasemaje????[emoji848]
Mkuu, sikuwa na maana hiyo. Nia yangu ni njema sana [emoji28]mambo ya mpwayungu haya. Umewa devaluate walimu kisomi sana.
Nashukuru mkuu.Mleta uzi una kitu japo una ego.
Labda wewe unaishi dunia ya peke yako.1. Kwanini unasema mtu hawezi fundisha kama hakasomea? Mbona mimi nafundisha? Ukisema huwezi tibu kufanyia mtu upasuaji kama hujasomea nitakuelewa na ndio maana tunasema madokta ni "profession".
3. Huwezi linganisha CWT inavyo fanya kazi na ERB! mfano ili injinia uendelee kuwa injinia ni lazima bodi ifwatilie na kuhakikisha unajiendeleza kitaaluma, je CWT wanafanya hivyo? Au wanakusanya pesa tu?
4. Mavazi maalum ya walimu ni yapi? Ya madokta, mainjinia na wanasheria tunayajua, je ya walim ni yapi?