Ni sahihi Mwalimu kusema, "I am a teacher by profession?"

Ni sahihi Mwalimu kusema, "I am a teacher by profession?"

Hata huyo aliyekufundisha huo uinjinia au udakrari ni mwalimu, sijui kama mwanafunzi anakuwa professional kuliko mwalimu wake nawaza tuu
Ualimu unaozumgumziwa hapa ni Education sio kufundisha.

Yaani iwe certificate, Diploma, Degree, Masters au PhD ni lazima isome Education.

Sio mtu kamaliza uchumi ila alipata maksi za juu akapata nafasi ya kufundisha vyuo vikuu au vya kati.

Ndio maana sio taaluma kamili, kwa sababu mtu yoyote anaweza kufundisha
 
Ualimu unaozumgumziwa hapa ni Education sio kufundisha.

Yaani iwe certificate, Diploma, Degree, Masters au PhD ni lazima isome Education.

Sio mtu kamaliza uchumi ila alipata maksi za juu akapata nafasi ya kufundisha vyuo vikuu au vya kati.

Ndio maana sio taaluma kamili, kwa sababu mtu yoyote anaweza kufundisha
[emoji3578]

[emoji1666]
 
Kwann useme not by profession wakati nimesomea kilimo na ninalima??
Hajui kwamba professional farmer anatumia professional term ambazo mkulima wa kawaida hawezi kuzinua.

Mkulima anatafuta dawa ya Twigaphos na asipoiona anarudi nyumbani wakati professional anatafuta active ingredient "profenophos".

Mkulima anaulizia mbolea ya kupandia hata akipewa CAN anabeba wakati professional anatafuta Di-ammonium Phosphate.

Tumuache aendelee kupuyanga au asikilize hoja za wengine ajifunze.
 
Rudia kusoma mkuu, halafu una muda wa kutosha kwasababu leo ni week end [emoji1], mbona uzi unaeleweka vizuri tu?
Kwa vigezo vyako tuu ulivyovitoa, profession ni zaidi ya hizo ulizoziorodhesha.
Means unajicontradict mwenyewe.

Bado hivyo vigezo hatujui umevitoa wapi, kichwani mwako?
 
I am an engineer by profession, Nina shahada ya Uhandisi wa kilimo kutoka chuo cha SUA.

Na kama hiyo haitoshi baada ya kumaliza chuo na kufanya kazi kwa miaka mitatu mhandisi mhitimu nimesajiliwa na bodi ya wahandisi Tanzania/ERB kama mhandisi mbobezi (Profesional Engineer)!

Leseni yangu ya mhandisi mbobezi inaisha muda wake baada ya miaka mitatu na kwa kipindi hiki natakiwa kujiendeleza katika kukuza ujuzi katika fani yangu ili baada ya miaka mitatu leseni yangu ihuishwe!

Umeona tofauti hapo?
Kuna vitu vingi vinafanywa na watu wa kawaida ambavyo ni kazi ya mainjinia.

Mfano, injinia wa umeme, watoto form four failures kutoka Veta wanawatoa nishai uko field!!
Njoo kwa hawa wa ujenzi hapa utacheka kabisa.

Mainjia wa Teknolojia hawa ndo usiseme!! Wamekaririshwa madarasani hawajui vitu vinabadirika daily!!
 
Back
Top Bottom