anti-Glazer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 291
- 484
Uzi umenifanya nifikirie nje ya box.
Katika ualimu walioajiliwa miaka 2000 kirudi nyuma walitambulika kama maafisa elimu.
Miaka ya 2010 wakabadilisha Sasa wanaitwa walimu. Maafisa no wale wanaoteuliwa pekee hata kama Hana sofa kielimu.
Kwa mfano. Katika ngazi ya mwalimu anafuata afisa elim kata, then wilaya Kuna afisa elimu wilaya na mkoa. Hapa kwenye kata amepewa afanye link kati ya shule na wilaya lkn serikali imekula za uso hapa Hawa jamaa wanakula Bure Kwa maana basi shule hazina sababu ya kuwa na walimu wakuu.
Yaani Kuna majitu hayafikiriii kiuhalisia mwalim mkuu anafanya kazi zote AEK au mratibu anakila mema tu maposho juu